Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Byuti geloo!!![emoji5]Aseee maroho yao! Wana roho ngumu sana!
Btw nilikuwa namjibu huyo niliyemquote kuwa ni ndugu yangu kwenye Irish na rwandahaya kasoro huo usukuma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa Kanda maalumu tunajua kuwapa wanawake kile wanachotaka, hafu wanawake wengi wa ukanda wa kaskazini wanatupenda sana. Na wao wanajua kutoa penzi tamuNina wivu jamani. Suala la kujua tu niko Dar ye kila siki Terime analala na mwanamke ndo lilinishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahamimi half caste wa kikurya.
Baba mkurya, mama mkurya.
Hapo vipi nimepatia au?
Ujipange kuchanga kwangu soon me na kaka ako tunafunga ndoa na kule kwenu mkajiandae kupokea mkweeOoh pole sana white....
Ila kama ulipangiwa kuolewa na mwanaume kutoka kanda maalamu na hakika utampata atakaye kupenda na kukuthamini 100%....
Ikitokea ukapata mchumba wa kikurya na mkataka kufunga ndoa nitaomba uni PM nitakuchangia kiasi fulani bure kabisa white .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
[emoji3] [emoji3]Dada tangu lini umekuwa mchochezi??[emoji16]
Karibu sana!Ujipange kuchanga kwangu soon me na kaka ako tunafunga ndoa na kule kwenu mkajiandae kupokea mkwee
[emoji23] [emoji23]Karibu sana!
Sasa unaingia Tarime, be strong!
- KANA -