12. Kama chanzo chako cha mapato ni mshahara pekee au mshahara wako ukijumlisha na kipato cha mke wako (kama umeoa) wewe ni masikini
13. Kama nusu (50%) ya jumla ya mapato yako yanatumika katika ada za shule, kodi, usafiri, (na majukumu mengine uliyojifunga nayo kama misiba, ndugu na harusi) wewe ni masikini
14. Kama unatumia muda wako mwingi wa ziada (leisure time) kwenye sehemu za watu (mfano: bar, mpira, betting) wewe ni masikini
15. Kama huwezi kuweka hakiba ya kipato chako wewe mwenyewe cha 20% (mbali na mifuko ya hifadhi ya jamii kama mwajiliwa) basi wewe ni masikini Mnyunguli