Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

Aisee nimehuzunika sana na vilio vya kwikwi juu hamna hata jambo moja lililonikosa katika hayo uliyoyaolozesha jamaa yangu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usijali pambana ujinasue mshikaji wangu!
 
  1. Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
  2. Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
  3. Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
  4. Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
  5. Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
  6. Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
  7. Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
  8. Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
  9. Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
  10. Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
  11. ..... ongezea....
Umaskini ni mind set!

Kuna watu Wana hela lakini mabahili hatari Bora msosi unaokula kuliko was kwake!
 
Sasa uwe na dinar kiwango chochote utazitumia kununua nini zaidi ya mafuta ili hali mafuta nchi nyingi wanayo! Ukiwa na dollars unakuwa juu ya dunia kila mahali utalambwa miguu! Mwenye dollars si mwenzako!
Duh!!!πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu unaonekana wewe ni mweupe kwenye masuala ya mabadilisho ya fedha za kigeni.
Dinar ni hela miongoni mwa hela ambazo unazoweza ukazibadilisha popote.
Kwahiyo umeona cha kununua uarabuni ni mafuta tu!?
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
Suala unalolizungumzia wewe ni la Dinar kuwa medium of exchange.
Ila ukiwa na Dinar hapo unaweza ukaenda sehemu ukabadili kwa hela husika na ukaitumia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio
Tajiri hawezi kukaa huku mkiani mwa dunia bro
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈAiseee.
Kwani huku na kule kuna utofauti upi zaidi ya maghorofa tu!?
Tena kihali ya hewa Tanzania kuko bora zaidi.
 
Halafu ukute upo kwa mume wa dada yako unaangalia tamthiliya na dada ako mume wenu amesafiri kikaz watu wa jf bhana ndo maana mi nakuaga mzto sana kusaidia mtu humu hata aseme ana tatzo la kumuua.
 
Halafu ukute upo kwa mume wa dada yako unaangalia tamthiliya na dada ako mume wenu amesafiri kikaz watu wa jf bhana ndo maana mi nakuaga mzto sana kusaidia mtu humu hata aseme ana tatzo la kumuua.
Acha kujipa umuhimu dada.......wanaosaidia hawana mbwembwe zako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈAiseee.
Kwani huku na kule kuna utofauti upi zaidi ya maghorofa tu!?
Tena kihali ya hewa Tanzania kuko bora zaidi.
Una wazimu wewe!!
Yani USA na huku uswekeni tofauti yake maghorofa?!!!! Uko serious au umeamua kujifurahisha??
Kweli waliosema watz ni maiti hawajakosea 🀣🀣🀣🀣
 
Una wazimu wewe!!
Yani USA na huku uswekeni tofauti yake maghorofa?!!!! Uko serious au umeamua kujifurahisha??
Kweli waliosema watz ni maiti hawajakosea 🀣🀣🀣🀣
Tofauti ni maendeleo ya maghorofa tu.
Ila interms of climate Afrika is the best in the world.
We kwanini hukujiuliza Yusuph Manji mlipa kodi mahiri wa England aliamua kuhamia Tanzania!?
Tanzania tamu haswa ukiwa na pesa.
Ila wewe muha(mrundi),warundi hamuelewagi na wabishiπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ.
 
Duh!!!πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu unaonekana wewe ni mweupe kwenye masuala ya mabadilisho ya fedha za kigeni.
Dinar ni hela miongoni mwa hela ambazo unazoweza ukazibadilisha popote.
Kwahiyo umeona cha kununua uarabuni ni mafuta tu!?
πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚
Suala unalolizungumzia wewe ni la Dinar kuwa medium of exchange.
Ila ukiwa na Dinar hapo unaweza ukaenda sehemu ukabadili kwa hela husika na ukaitumia.
Tafuta watu kumi hapo kitaani kwako waulize "dinar" ni hela ya wapi? Ukimpata hata mmoja njoo hapa nikupeleke kidimbwi kwa gharama zangu! Alafu tafuta watu mia duniani kote waulize "dollars πŸ’Έ " ya wapi? Ukimpata hata mmoja asiyejua njoo utafute slayqueen mmoja nitakulipita mahari kama hujaoa!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Doh.
Mie mtaa naoishi jamii kubwa waarabu na ndani naishi na waarbau pia.
Utajichoma tulia kijana wangu.
Watu kukosa kuijua dinar haimaanishi kama dinar haina thamani au haitumiki.
Inatumika na ina thamani mara 2 ya dollar.
Labda hujaelewa nini najaribu kusema.
Nenda bank kaibadili dinar kuwa shillings kama hautaibadilisha.
Pia mie nimeoa mkuu.
Na starehe zangu ni tofauti na ulizotaja hapo.
 
Back
Top Bottom