OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mtoa mada ni masikini pia. Namjua vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au sio 😂😂😂nagongelea na sumari la jahazi ngo ngo ngo📌🔨
nashukuru siishi ukimani bongo
Afadhari namba Tisa imeniepukaa😂😂
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
😂😂😂 Bongo hamna matajiri bana kuna wauza maandazi na juice.Ona sasa na wewe mdogo wake Evelynsalt unachoongea!?
Utachapwa we kosea adabu matajiri🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Mo yupo TZ ila ana hela mara mbili na nusu ya JAYZ.
😂😂usimfokee tajiri wewe,,atatikisa tena kebo kuleee baharini
Aisee tutakuchapa lamomy!😬😬😬😂😂😂 Bongo hamna matajiri bana kuna wauza maandazi na juice.
Ushasikia kina Elon wanauza juice??
😂😂😂😂 Endelea kubisha.Aisee tutakuchapa lamomy!😬😬😬
Kwani kuna biashara za kitajiri na kimasikini!?
Cha muhimu kuingiza pesa ndefu.
Aya sasa Bakhresa ana pesa kuliko kina Pdidy utasemajee!?
😂😂😂😂Aiseee.😂😂😂😂 Endelea kubisha.
Maandazi ya bakhresa yanauzwa east africa only. Ila bidhaa za Elon zinatumika dunia nzima.
Sasa hapo swali hilo jaza mwenyewe
😂😂😂 bro angu Evelyn Salt usimsumbue au unampenda??😂😂😂😂Aiseee.
Unataka tuanze kufundishana biashara zina scale ngapi.
Embu muite Evelynsalt.
Bakhresa ana net worth inayofika $ 800 millions unamuitaje masikini!?
🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🤣Lamomy nakuita tena Lamomy Lamomy we aya tu.
Daaah...
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Eti hapa JF kila member Ni University graduate,Ni ana gari,nyumba Kali,anatumia iPhone na anaishi mjini😂Kama haupo jamiiforums we ni masikini.
Ninachojua jf hakuna masikini. Na ukiwa masikini basi umejitakia tu.
*Kama unamiliki nyumba mbili
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Mkuu ni wewe tu kujikadiria utajiri.Eti hapa JF kila member Ni University graduate,Ni ana gari,nyumba Kali,anatumia iPhone na anaishi mjini😂
[emoji16]Sisi tuko ulimwengu wa 3, hivyo tambua zaidi ya 97% ni masikini.
Lakini kuna wengine ni matajiri wa hela ila masikini wa akili, mfano unalala na chatu halafu una hela ndefu.
Uwe na siku njema pia Mkuu mimi nikiona mtu anaiponda Iphone au Mercedes Benz najua tu hajakutana na kitu sahihi...hata kama hatutumii hizo simu tusifananishe na matakataka yetu...Mkuu uwe na asubuhi njema.
Mie kubishana siwezi.
Halafu sio kila mtu hutumia vitu refurbished.
Usikariri maisha namna hiyo.
KWAHERI.
Mkuu huwenda umekariri sana kuhusu iphone.Uwe na siku njema pia Mkuu mimi nikiona mtu anaiponda Iphone au Mercedes Benz najua tu hajakutana na kitu sahihi...hata kama hatutumii hizo simu tusifananishe na matakataka yetu...
Aisee🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️ Evelynsalt BIBI YANGU nampendaje🤣!?😂😂😂 bro angu Evelyn Salt usimsumbue au unampenda??
Narudia tena na majirani zako wasikie.
Km unaishi bongo ww ni maskini tu!