The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Means?Third generation...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Means?Third generation...
Hayo maoni yako tu... Usitulazimishe
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
wewe na chawa lukas ni dugu moya

Hadi bakhresaKama unaishi bongo bado wewe ni maskini 😂😂😂
Ndio 🤣🤣🤣Hadi bakhresa
hakuna namna tuendele kununua magariKichwa cha khabari hakiendani na ujumbe ulioandika.
hakuna namna tuendele kununua magari
Asante Kwa kumjibu vema. Nilitaka nimjibu kipengele Cha kwanza na Cha pili.Umeropoka sana mkuu.
-Usafiri wa umma haimaanishi kuwa mtu masikini.
Wapo wenye uchumi wa kati ila wanatumia usafiri wa umma.
-Wengine wanafuga hawanunui nyama bali wanachinja.
-Simu nzuri sio apple na samsung tu.
Kuna OPPO,XIAOMI,VIVO,HUAWEI.
Hizi nazo zimetajwa kuwa miongoni mwa simu bora.
Punguza ushamba
Dah! leo masikini tumeandamwa humu sijui hata shida n mini
Kila nikifungua jeifu nakutana na masikini aisee
Ona sasa na wewe mdogo wake Evelynsalt unachoongea!?Ndio 🤣🤣🤣
Memento Vivere 😊MEMENTO MORI..