Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Punguza ulimbukeni dogo Hawa ndo vijana wa Ilala akiwa na iPhone macho matatu tayari katoboa yaani yupo radhi atoe jicho Moja apate matatu
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Wewe ni tajiri wa roho! Wasiwasi ondoaKwani bodaboda nayo ni usafiri wa Umma??, Nijibu fasta kabla sijajipigia makofi tajiri mimi🤒🤒😂😂
kampelewele
Kama "huko" ??
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Iiii jamani 😔😔, Maanake Sio tajiri wa mwilini😥🥺Wewe ni tajiri wa roho! Wasiwasi ondoa
Tajiri kimwili hajapatikana! Ndiyo maana tunafight hata kuanzisha maduka baby!Iiii jamani 😔😔, Maanake Sio tajiri wa mwilini😥🥺
Ila kwa vigezo vya mleta mada me nitajiri, sema ndyo🤒Tajiri kimwili hajapatikana! Ndiyo maana tunafight hata kuanzisha maduka baby!
NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! BarikiwaIla kwa vigezo vya mleta mada me nitajiri, sema ndyo🤒
Amen ☺️☺️NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO! Barikiwa
Nilivosoma hoja namba 1 niliweka attention nikifiri umeongea vya msingi, ili nilivyoendelea mbele nikagundua ni pumba tupu 🚮
- Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
- Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
- Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
- Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
- Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
- Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
- Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
- Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
- Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
- Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
- ..... ongezea....
Mkuu mimi nipo kwenye kundi aliloongea mshikaji ila kuhusu simu Apple na Sumsung ni simu bora sana Jaribu kutumia hata ya zamani ile S 21 + 5G ndio uendelee kwenye 23 huko Ulaya kutumia kitu sio kigezo chochote cha ubora wa kitu wale jamaa wana displine ya hela sana wapo wanaotumia baiskeli kwenye shughuli zao ila hiyo baiskeli yenyewe ni kama IST kwetu...Nakurekebisha unasema nimekwazika mkuu!?😳😳😳😳
Nikupe mfano wa OPPO tu,Ulaya matajiri sasa hivi wanakimbilia OPPO.
Sasa wewe mshamba umeshikilia simu ni samsung na apple imekula kwako.
Apple/I phone nimewahi itumia Iphone X japo nilipewa sikununua,Iphone kiufanisi naweza sema hamshindi Samsung,Samsung nimezinunua sana hususan model za NOTE,model za Note karibia zote nimenunua.Mkuu mimi nipo kwenye kundi aliloongea mshikaji ila kuhusu simu Apple na Sumsung ni simu bora sana Jaribu kutumia hata ya zamani ile S 21 + 5G ndio uendelee kwenye 23 huko Ulaya kutumia kitu sio kigezo chochote cha ubora wa kitu wale jamaa wana displine ya hela sana wapo wanaotumia baiskeli kwenye shughuli zao ila hiyo baiskeli yenyewe ni kama IST kwetu...
Mkuu sio kweli bhana mimi nipo SA na hapa simu hizo zote ndio zimejaa aisee hivi vitu mnavitoa wapi au mkitumia refurbished hizo za Dubai ndio mnakuja na majibu ya jumla nakwambia sio kweli unachoongea...OverApple/I phone nimewahi itumia Iphone X japo nilipewa sikununua,Iphone kiufanisi naweza sema hamshindi Samsung,Samsung nimezinunua sana hususan model za NOTE,model za Note karibia zote nimenunua.
Samsung ndio ni simu bora kiufanisi wa software yake na masuala mengine.
Ila jaribu matoleo mengine kama Huawei,OPPO,XIAOMI uone jinsi zilivyo na ufanisi pia.
Mie nina OPPO reno bro tafuta OPPO reno yeyote kaitumie uone,hutojutia kununua.
Au kuhusu vivo kanunue vivo X90 kesha ucheki ufanisi wake upoje.
Kwa hizi simu kuanzia kasi ya internet,camera,durability vyote vinakimbizana na hizo Samsung.
Unavyovipata katika Samsung hukosi kuvipata katika hizo simu nilizotaja tena karibia asilimia ile ile.
Mkuu uwe na asubuhi njema.Mkuu sio kweli bhana mimi nipo SA na hapa simu hizo zote ndio zimejaa aisee hivi vitu mnavitoa wapi au mkitumia refurbished hizo za Dubai ndio mnakuja na majibu ya jumla nakwambia sio kweli unachoongea...Over
nagongelea na sumari la jahazi ngo ngo ngo📌🔨Kama unaishi bongo bado wewe ni maskini 😂😂😂