Wewe ni masikini kama huko kwenye kundi hili!

  1. Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
  2. Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
  3. Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
  4. Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
  5. Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
  6. Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
  7. Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
  8. Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
  9. Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
  10. Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
  11. ..... ongezea....
Uhalisia mdogo katika mengi,ama nikuambie kua uyaone mwanangu ama nikuambie,msela hafugi paka,ama ni kuambie kila mtu na hamsini zake,ama wewe ni familia changa tena mboga Saba changamoto bado,ama mtoto wa baba na mama ukilia ng'aa umesikilizwa na kuwezeshwa ulipo kwama🤔
 
Hata wewe pia inaoneka ni masikini matajiri huwa hawana muda wakuzungumzia maisha ya watu masikini matajiri ni watu wa mipango na kula starehe sijawahi kuona tajiri anajadili maisha ya mtu anayepitia msoto
 
Uhalisia mdogo katika mengi,ama nikuambie kua uyaone mwanangu ama nikuambie,msela hafugi paka,ama ni kuambie kila mtu na hamsini zake,ama wewe ni familia changa tena mboga Saba changamoto bado,ama mtoto wa baba na mama ukilia ng'aa umesikilizwa na kuwezeshwa ulipo kwama🤔
Mleta mada ni kutaka kuwafikilisha watu washtuke!
 
Mkuu kizazi chako cha tatu nikimaanisha vitukuu vyako wana uwezo wa kuishi maisha yao yote bila kugusa fedha za baba zao? Kama jibu ni ndio basi hongera...ila kama sio wewe ni mwenzetu
 
  1. Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
  2. Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
  3. Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi ukikichukua choote kinajaa kwenye wallet
  4. Watoto wako wanasoma shule za umma/serikali
  5. Huwezi nunua kilo mbili za nyama angalau kwa wiki kama mboga
  6. Kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine wewe na nusu ya familia ni kipengere
  7. Kama ni mwanaume unaogopa majukumu ya kuoa
  8. Kama mwanamke unalia kuolewa lakini kikubwa ili upate unafuu wa maisha
  9. Kama Unatumia simu nyingine (isipokuwa iPhone na Samsung) wewe ni masikini
  10. Ukienda bar macho kodo watu wakiwa wanatumia hela zao
  11. ..... ongezea....
9. Ya uongo
 
Umeropoka sana mkuu.
-Usafiri wa umma haimaanishi kuwa mtu masikini.
Wapo wenye uchumi wa kati ila wanatumia usafiri wa umma.
-Wengine wanafuga hawanunui nyama bali wanachinja.
-Simu nzuri sio apple na samsung tu.
Kuna OPPO,XIAOMI,VIVO,HUAWEI.
Hizi nazo zimetajwa kuwa miongoni mwa simu bora.

Punguza ushamba
Si kila Mtu ni limbukeni wa usafiri binafsi, kuna Jamaa ana nyumba za kisasa 6 za kupangisha ila hutumia usafiri wa uma 70%.
Kamwe sijawahi na sitathubutu kutumia simu za iphone au Samsung smartphones sababu sizipendi japo nishatumia TV & friji za Samsung.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Si kila Mtu ni limbukeni wa usafiri binafsi, kuna Jamaa yangu ana nyumba zaidi ya 6 za kupangisha ila hutumia usafiri wa uma 70%.
Kamwe sijawahi na sitathubutu kutumia simu za iphone au Samsung smartphones sababu sizipendi japo nishatumia TV & friji za Samsung.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Pole sana mkuu! Ni mapito tu!
 
Namba 2 umekosea sana,Mimi mzee wangu hataki kusikia Habari ya kununua gari,aliniambia lilitaka kumfilisi ila ana vitu anamiliki mpaka watu wanatusema ana masharti ya mganga.

Hii ilipelekea maza kununua gari kwa kulazimisha tulipomchangia Ndio anaendeshwa na kupanda Mara moja moja wala hana shobo na magari.
Akiendesha ni kwenda kanisani tu na kurudi.
Third generation...
 
Back
Top Bottom