Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
We ukiona unaanza kujadili umaskin na utajiri ujue ww n maskin mana tajiri hawez jadili suala la utajiri na umaskin ukiona tu unaanza kujadili suala la utajiri na umaskin ujue ww n maskin elon mask bill gate kina mo bakhresa hawez jadili upuuzi ka huu