Wewe ni mhenga?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najivunia sana kuwa muhenga
 
Kama umeenda shule kwa kushika sikio na mkono wewe ni mhenga mbobezi.

Kama shuleni umetazamwa kwa kioo na kuambiwa rangi ya chupi yako wewe ni mhenga.

Kuna zile chupi unakuta za rangi moja kama kijani halafu zinavutika kama manati ndiyo mlikuwa mnaziitaje? Usiniulize nimezijuaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najivunia sana kuwa muhenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sana

Kama umekunywa maji ya kwny mtungi na kikombe cha bati wewe ni muhenga na nusu

Kama umekunywa chai ya kuunguza sukari ( inaitwa twi in one maana umeokoa majani ya chai na sukari pia) ndg yangu wewe ni muhenga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uhenga wa hivi vitu bado ninao hadi sasa..

Maji ya kwenye mtungi yanakuwa ya baridi mithili ya friji
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uhenga wa hivi vitu bado ninao hadi sasa..

Maji ya kwenye mtungi yanakuwa ya baridi mithili ya friji
Sana maji yanakuwa matamu. Siku hz watu wana dispenser
 
.
 
Kama bado unatongozwa na kukata vimajani na kuishia kusema yaani wewe Daby.

Wewe ni mhenga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama bado unang'ata kucha ukitongozwa wewe ni muhenga

Kama bado unajipitisha pitisha nyumbani kwa mpenz wako ili akuone wewe ni muhenga

Kama bado unamvizia mpenz wako njiani wewe ni muhenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…