Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulikuwa unazungusha cassete na peni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unakula gud gud chocolate wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unachana nywele na chanuo la chuma unalipitisha kwny moto wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unaweka vimstari kwny shati la shule ukipiga pasi wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unavaa raba za dingi hana uwezo ( dhl) shuleni wewe ni muhenga
Kama ulikuwa unapenda matandu na ukoko unayaloweka na mchuzi viloane ndo ule wewe ni muhenga
Kama ulikuwa jnakisubiria kipindi cha mama na mwana redio tanzania wewe ni muhenga hama kwenu kajitegemee
Najivunia sana kuwa muhenga