Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Mtu anaejitambua,anajua baya na jema,yani umetoa ujinga kichwani
 
Nyie waislam mnavuta kwanza ndio mnaingia ibadani.
 
Walivyobadilisha Jina kutoka Sportsman kuwa Portsman ndio niliona ujinga nika quit.

Hawakubadili Jina tu.. Hata ladha ilibadilika ikawa fegi ya hovyo hovyo.. Sauti inakoroma sana asubuhi ukivuta hayo madude.. Plus ukiwa umepiga cognac dry bhas ni hatari tupu.
 
Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.
 
Wasomi wa kisasa wameachana na sigara, ni mwendo wa shisha🐒

Your browser is not able to display this video.
 
Mbona ilibadilishwa zamani sana nadhani wakati wa kugawanywa mashirika ya iloyokuwa jumuiya ya afrika mashariki.
Yap,

Ni miaka 20+ Sasa toka wamebadili hilo jina la biashara.
 
Usomi na kuvuta sigara ni vitu viwili tofauti.
Tafakari kijana.
 
Wavuta sigara wengi walianza kwa kuiga hasa kupitia muvi,basi wakiona jamaa linakunywa pombe na kuvuta sigara wakat huo huo wanaona ni raha sana

Sigara ni kujipiga kodi kimakusudi maana hizo mia mbili mbili hizo baada ya mwezi ni pesa ndefu

Wanaume tunapenda sana kujipiga kodi sana ndo maana Mwigulu ameona atuzidishie mikodi tu maana unakuta mwanaume ana mchepuko gharama za kuuhudumia kwa mwaka ni karibu mil.5+ bado pombe na masigara
 
Umenifanya nikumbuke jamaa flani ktk stor stor
Ukila chakula unapata haja
Ukinywa maji unapata mkojo
Ukivuta sigara unapata nn?
Chakula na maji, hukupa uzima wa kuendelea na maisha, ndio vya msingi, sio makapi baada ya matumizi ya chakula.
Sigara inakupa nini?
 
 
Umeona sigereti pekee? Kuna vingi wewe mwenyewe unafanya vya hatari tatizo umeona kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati una gogo jichoni mwako hulioni? Toa kwako kwanza halafu lawama iendelee.
 
Ila kusengenya, kulala huku ukiwa na chuki na majirani, wivu kwa walio na mafanikio, shirki,lugha chafu namengine mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…