Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Alhag wa miaka 2 na mil 20 mbona anatwanga fag embassy bro Ina maana hajui kama ni haram?
 
Mkuu hapo kwenye point namba moja"udhia" ndio maana ikaitwa makruu maana yake inaleta karaha ila hakuna mahali kwenye maandiko iliposemwa ni haramu.
Na kuhusu madhara kitu chochote kile ukitumia kwa kuzidisha kiasi kitakuletea madhara(Too much is harmful).
Hata ukila ugali maharage kwa kuzidisha kiasi itakuletea madhara ya kuvimbilwa tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…