Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Wewe ni msomi halafu unavuta sigara, usomi wako una faida gani sasa?

Alhag wa miaka 2 na mil 20 mbona anatwanga fag embassy bro Ina maana hajui kama ni haram?
 
Inategemea wewe umeichukulia Ktk engo gani mimi nafuata kauli ya "uharamu mtu kujidhuru au kutumia kitu kinachodhuru" sasa sigara hakuna namna ya kutumia mtu isimdhuru na athari kiafya zipo wazi kabisa achilia mbali nyingine mfano;

1.Mtu unapovuta moshi wake kuwapa wengine hivyo kusababisha udhia na madhara kwa wengine.

2.Harufu mbaya ya mdomo . Haipendezi mtu kuswali hali ya kuwa kinywa kina harufu mbaya na ni sunna kabla ya kuswali kusafisha kinywa sasa kwa wavuta sigara mara nyingi harufu mbaya inakomaa mdomoni tofauti na watu wengine.
Mkuu hapo kwenye point namba moja"udhia" ndio maana ikaitwa makruu maana yake inaleta karaha ila hakuna mahali kwenye maandiko iliposemwa ni haramu.
Na kuhusu madhara kitu chochote kile ukitumia kwa kuzidisha kiasi kitakuletea madhara(Too much is harmful).
Hata ukila ugali maharage kwa kuzidisha kiasi itakuletea madhara ya kuvimbilwa tumbo.
 
Back
Top Bottom