Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Aisee!

Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
View attachment 3096826
(Picha nimetumiwa tu baadae)!

Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.

View attachment 3096829

Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.

Tutafute hela
Tafute hela kijana uache kukodolea gari za wanaume😂😂
 
Ila sielewi kwanini wabongo hawanunui phantom au ghost
Hii Ferrari ni old kidogo ya 2013, iyo RR ujue ya 2019 kuja juu.. Huchelewi kuta mtu kanunua 0km.
Hela ndogo kwa ma billionaire, kwa mtu mwenye kioato cha chini akinunua bist au passo unakuta amejiumiza sana na amejishusha kiuchumi tofauti na billionaires kama hawa wanaonuna hizi rolls royce
 
Back
Top Bottom