Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Screenshot_20240915_225328_com.olx.ssa.jpg

Hizi defender zimekua nyingi! Kweli watu wana hela bongo
 
Aisee!

Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
View attachment 3096826
(Picha nimetumiwa tu baadae)!

Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.

View attachment 3096829

Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.

Tutafute hela
Hivi siyo vi toy kweli.
Anyway kijijini kwetu ukinunua BMW utasimangwa utaambiwa hukuona magari mazuri kama NOAH mpaka ununue KATAXI hako kadogo
 
Back
Top Bottom