Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

Aisee!

Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
View attachment 3096826
(Picha nimetumiwa tu baadae)!

Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.

View attachment 3096829

Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.

Tutafute hela
Mwenzio kaandika SPIDER na wewe unamkosoa?
 
Aisee!

Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
View attachment 3096826
(Picha nimetumiwa tu baadae)!

Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano.

View attachment 3096829

Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L.

Tutafute hela
Siyo kijana wa waoka mikate!

Huyo ni kijana wa Abdrikarim Mulla! Anaitwa Dadykarim Mulla! Wale wenye kiwanda cha Tanzania Tea Blenders! Ingawa huyu dogo ana mishe zakuuza mawe Arusha!
 
Your so obssesed with car do hard work to ride a car comfortable your post make you a fool
Bro unateseka ukiwa wapi? Kwa nini unaumizwa na hobbies au mafanikio ya wengine?

In fact this post makes you look exceptionally foolish.!

News za Mad Max kuhusu magari zinaelimisha wengi. Unatoka huko na frustrations zako unaanza kutukana watu. .. sad!
 
Back
Top Bottom