"Wewe unanifuatafuata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi " Hili kosa adhabu yake ndio kifungo cha miaka miwili?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
 
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ?

Kwa mara ya kwanza umekuwa professional! Hongera mwana mama
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Mmeamua kutukomesha ili tusichukue ubingwa sio?
 
Mkuu unataka kusema ni haya tu aliyoongea kwa zaidi ya dakika moja??? Au alikua akiyarudia rudia muda wote?
 
Mlalamikaji ni sekretarieti ya TFF ambayo inaongozwa na Katibu mkuu wa TFF.

Ndo maana Sekretarieti ya TFF chini ya Katibu mkuu wa TFF walifungua shauri mbele ya kamati ya maadili.

Kwahivyo kamati ya maadili chini ya M/kiti Mwita Waissaka, ndo wametoa uamuzi sasa baada ya kupitia vifungo vyao vya kanuni na sheria.
 
Wee nae hamna kitu unachukua vitu juu juu halafu unakuja kutoa conclusion kabla ya kuandika kitu au kutoa taarifa jiridhishe kwanza kama taarifa imekamilika kama haikukamilika tafuta mpk ikamilike vinginevyo ukiitoa nusu watu wanasema umekurupuka na siku zote ukiona mtu anakurupuka katika jambo lolote ujue hana anachokijua katika hilo jambo
Nenda kayatafute maneno yaliyobakia ndio uje kutoa unachotaka kusema vinginevyo maneno yako kama gunia la pumba huku ukijidai katika gunia kuna mchele
 
Kwahiyo ulitaka asiadhibiwe ili kauli yakumuambia huna chochote cha kunifanya itimie[emoji849]
 
Wallace Karia anajiona kama mungu mtu vile pale TFF! Sijui muda wake unaisha lini, ili awaachie nafasi wenye mpira wao.

Enzi za Leodgar Chilla Tenga, TFF ilikuwa ni taasisi bora kabisa! Ila wapoingia wanasiasa Jamali Malinzi na huyu Wallace Karia, shughuli ndiyo ikaanza sasa.

Kakosa kadogo tu, faini milioni 20 na kufungiwa miaka 5! Simtetei Hajji Manara! Ila hata Wallace Karia na wasaidizi wake nao siyo Malaika. Wamekuwa na tabia mbaya ya kuwafungia watu kwa sababu tu ya mihemko, na sababu zao binafsi.
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Yule msomali hana masihara kabisa, muulize wambura kilichomkuta mpaka Fifa wakampa rungu la milele.
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Nashindwa kuelewa hapo, ina maana mpaka haji anatamka ayo maneno yeye karia alikuwa amenyamaza kimya? Akuna maneno aliyomwambia manara mpaka akamtamkia ivyo? Ina maana manara ni kichaa alimfata Karia na kuanza kumwambia ayo maneno bila sababu? Mbona iyo kamati haisemi yeye karia aliongea maneno gani pale? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hili suala alijakaa sawa hata kidogo
 
Back
Top Bottom