"Wewe unanifuatafuata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi " Hili kosa adhabu yake ndio kifungo cha miaka miwili?

Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Dogo Manara jeuri sana. Ana dharau na nyodo za kijinga. Amepata anachostahili!!!
 
Mbona kama povu jingi sana ku nani?
Ameandika ujinga unajua ili jambo linaitaji umakini kwakuwa kuna ushabiki ndani yake ivyo ukiripoti bila umakini watu hutuwezi kuelewa mwandishi amefanya makosa kuchukua taarifa nusu na kuja kujadili je kwa ww unadhani ni sahihi kutoa taarifa nusu na kuja kutoa conclusion?
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Kama ni kweli alitamka Hayo maneno, ndani ya Hayo maneno kuna Jinai.

Ila kwa afya ya soka letu wakae chini walimalize hili.

Manara asaidie inawezekana kabisa kichwani hayuko sawa.
 
Nashindwa kuelewa hapo, ina maana mpaka haji anatamka ayo maneno yeye karia alikuwa amenyamaza kimya? Akuna maneno aliyomwambia manara mpaka akamtamkia ivyo? Ina maana manara ni kichaa alimfata Karia na kuanza kumwambia ayo maneno bila sababu? Mbona iyo kamati haisemi yeye karia aliongea maneno gani pale? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hili suala alijakaa sawa hata kidogo
Hii ndio imenifanya nilete uzi huu
 
Huyo msomali ni wa hovyo sana, kuna kipindi nafikiri akiwa Arusha alisikika akipiga siasa za kijinga sana kwa kumponda Tundu Lissu kipindi serikali ya Magufuli ilipotaka kumuua.

Alifanya hivyo ili aonekane kwa Magufuli kwamba na yeye hampendi Lissu kwani mbele ya dikteta Magufuli yeyote aliyekuwa akionyesha huruma kwa Lissu alionekana adui wa taifa. Bure kabisa huyu msomali.
Kila ubaya utalipwa
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Ni kazi yenu Utipolo kuweka maneno ya Karia. Wao TFF wameshaweka ya zeruzeru wenu.
 
tena tumiaka tuwili tuchache sana! huyu dogo kazoea sana
 
Wallace Karia anajiona kama mungu mtu vile pale TFF! Sijui muda wake unaisha lini, ili awaachie nafasi wenye mpira wao.

Enzi za Leodgar Chilla Tenga, TFF ilikuwa ni taasisi bora kabisa! Ila wapoingia wanasiasa Jamali Malinzi na huyu Wallace Karia, shughuli ndiyo ikaanza sasa.

Kakosa kadogo tu, faini milioni 20 na kufungiwa miaka 5! Simtetei Hajji Manara! Ila hata Wallace Karia na wasaidizi wake nao siyo Malaika. Wamekuwa na tabia mbaya ya kuwafungia watu kwa sababu tu ya mihemko, na sababu zao binafsi.
Hayo uLiyo-italize Ni Maneno yako au Kuna mtu umemnukuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii adhabu ni ndogo sana huyu alitakiwa apigwe miaka 10,toka lini umeona Rais wa nchi hii anarushiwa maneno namna hiyo,kiongozi lazima aheshimiwe huwezi kaa mbali basi
 
Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Mlalamikaji ni mtendaji wa TFF, waliohukumu ni TFF.

Hapa kuna tatizo, Manara kata rufaa BMT.
 
Back
Top Bottom