"Wewe unanifuatafuata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi " Hili kosa adhabu yake ndio kifungo cha miaka miwili?

Huyu Manara roporopo , kigeugeu na ndumilakuwili ndiye mnayemtetea ? Au kuna Manara mwingine? Ngoja apigwe za uso.
20220704_163554.jpg
20220720_120627.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani umeongea tu kwakuangalia upande wa Manara hujaangalia soka kama soka yenyewe maana soka haitaki malumbano ndiyo maana hata serikali haiwezi kuingilia mpira wanawaachia wenyewe Manara ametoa tuhuma na kashfa kiongozi wa mpira anahukumiwa na chama cha mpira tu siyo mtu mwingine yeyote hata duniani kote hakuna sehemu inayosema mshutumu kiongozi wa mpira anafungwa mahakamani hakuna kabisa amefungiwa kutokana na kauli zake hakuna kingine soka ni mchezo wa amani na upendo ukiingiza siasa zako chuki zako binafsi utakuadhabisha Manara amefungiwa na chuki zake kwa Karia kingine Manara anatumia ngozi yake kujifanyia makosa na hutaka huruma na utetezi wa watu nilikuwa simwamini Babra aliposema Manara anaihujumu simba ila niliamini sasa nawe ipo siku utaamini akifanyacho Manara
 
Swali lako halihusiani na hoja
Mkuu,KARIA ni kiongozi. Kiongozi huakisi wale anaowaongoza.Hata kama amekukosea kuna namna/taratibu za kushughulika naye.

Alichokifanya MANARA ni ukosefu wa adabu,tena mbele ya viongozi mbalimbali wa kitaifa.

Hata mheshimiwa MBOWE(kwa sababu wewe ni mwanachadema) akikukosea hutakiwi kumshambulia kama vile,ila kuna taratibu(katiba/
sheria na kanuni) mlizojiwekea utazifuata.
 
Mfano wako wa kumfananisha Jabali Mbowe na mtu wa chini kama Karia ni dharau sana , usirudie tena
 
Jabali kwako wewe na wanachadema.
Ila kwenye soka kuna taratibu zake.
Ulichokileta wewe ni mtazamo wako tu ila waliomhukumu wamefuata taratibu
 
Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .

Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?

Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?

Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?

Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .

Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Totally professionalism [emoji119]
Jf needs such people like you,Yaani hauna hypocrisy.
 
alitukana Yanga nzima wanamuangalia tu, akatukana Mo wanamchekea tu, Akatukana Barbra mpo kimya tu. Leo anatukanwa Karia unatetea. Subiri siku utukanwe wewe
Ndo maajabu yanakuja hapo . kwamba wakati hao wote wanatukanwa hiyo kamati ilikuwa wapi hadi katukanwa rais wa TFF ndo wameibuka kumuadhibu ?
 
Nadhani umeongea tu kwakuangalia upande wa Manara hujaangalia soka kama soka yenyewe maana soka haitaki malumbano ndiyo maana hata serikali haiwezi kuingilia mpira wanawaachia wenyewe Manara ametoa tuhuma na kashfa kiongozi wa mpira anahukumiwa na chama cha mpira tu siyo mtu mwingine yeyote hata duniani kote hakuna sehemu inayosema mshutumu kiongozi wa mpira anafungwa mahakamani hakuna kabisa amefungiwa kutokana na kauli zake hakuna kingine soka ni mchezo wa amani na upendo ukiingiza siasa zako chuki zako binafsi utakuadhabisha Manara amefungiwa na chuki zake kwa Karia kingine Manara anatumia ngozi yake kujifanyia makosa na hutaka huruma na utetezi wa watu nilikuwa simwamini Babra aliposema Manara anaihujumu simba ila niliamini sasa nawe ipo siku utaamini akifanyacho Manara
mkuu kinacholeta ukakasi ni kuwa kamati wametamka maneno ya manara aliyomwambia Karia lakini kamati hawajaeleza ni nini Karia alimtamkia au kumfanyia Manara kikapelekea jamaa kumjibu hivyo . kamati itamke chanzo kilikuwa ni nini?
 
Hakika
 
Mkuu Bora ubaki tu kule kwa CHADEMA na CCM huku mmhhh
 
Hakunaa mtu mnafiki Kama manara.
Alipokuwa Simba alijifanya ana uchungu Sana na Simba.
Kaenda utopolo napo anajifanya ana uchungu Sana na utopolo.
Sio unafiki..ni kazi kama kazi zingne ..yuko kazini pale
 
Hakunaa mtu mnafiki Kama manara.
Alipokuwa Simba alijifanya ana uchungu Sana na Simba.
Kaenda utopolo napo anajifanya ana uchungu Sana na utopolo.
Nashangaa hata watu wanaomtetea ndo utajua wa tz kuna mafaili huku kichwani mende wameyatafuna jitu si mpaka lilia kua haliwezi kuihujumu simba kumbe kenge lile lilikua usiku yanga mchana simba ...bado juzi yule mwandishi alieandika kua limetukana likaanza kumpiga mkwala kua haliwezi kutukana viongozi leo limekalia kitu kigumu tena bado watu wanalitetea [emoji102][emoji102][emoji102]
 
Back
Top Bottom