reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Manara Ana helaaaa amini maneno yangu,natamani kusema hapa afu mtoaji mzuri,mshahara wake si chini ya 30m ,20m kwake sio kitu kabisaa....najua nachokisemaKufungiwa miaka 2 hiyo nadhani siyo issue kubwa, ila hiyo 20 mil kama faini inatisha sana. Unless una biashara ya maana sana lakini siyo vinginevyo. Saizi ya Manara ni 2 mil.zinatosha kumpa funzo.