Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshika neno " Manara Ni kichaa" imeisha hiyooooNashindwa kuelewa hapo, ina maana mpaka haji anatamka ayo maneno yeye karia alikuwa amenyamaza kimya? Akuna maneno aliyomwambia manara mpaka akamtamkia ivyo? Ina maana manara ni kichaa alimfata Karia na kuanza kumwambia ayo maneno bila sababu? Mbona iyo kamati haisemi yeye karia aliongea maneno gani pale? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hili suala alijakaa sawa hata kidogo
Na yeye karia alisema kitu gani siku ile?Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?
Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?
Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .
Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Muache ale mvua ili siku nyingine awe na adabu kwa wakubwa zake maana amezidi ulopolopoHivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?
Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?
Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .
Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Msifurahie, huenda akakata rufaa na adhabu kufutwa au kupunguziwa.Tulikwenda nyumbani kwa karia na juice tukanywa na picha tukapiga[emoji16][emoji16].kumbe mwenzio alikuwa anamchora tu
dunia hii unafikii upo kila konaa... so ili mradi mkono uende kinywaniHakunaa mtu mnafiki Kama manara.
Alipokuwa Simba alijifanya ana uchungu Sana na Simba.
Kaenda utopolo napo anajifanya ana uchungu Sana na utopolo.
Hii ndio maana halisi ya chama cha watu, peoples power, kinapigania haki za watu wote.Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?
Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?
Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .
Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Kwani Bumbuli na Nugaz wanasemaje?Hivi ndivyo Haji Manara alivyomwambia Wallace Karia , ambaye ni Rais wa TFF kule Arusha kwenye game ya fainali kati ya Yanga na Coastal Union .
Je Kauli hii inastahili adhabu hiyo na Faini ya Tsh Mil 20 , kama ambavyo TFF imemuadhibu Haji Manara , au kuna msukumo wa mambo mengine ? Video zimeonyesha Karia akitamka maneno na kumnyooshea kidole Manara , ni maneno gani aliyokuwa anayasema Karia , mbona hayakuwekwa ?
Kamati ya Utendaji ya TFF inaongozwa na Karia , Je hawa ndio wa kumhukumu Manara na kwamba hawana Conflict of Interest ?
Binafsi simpendi Manara , maana mimi ni Simba , lakini jambo hili linahitaji mjadala mpana sana , Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Leo ni Manara , Juzi ni Kocha wa Mbeya Kwanza , Kesho ni wewe .
Anayekula Nyama ya Mtu haachi - JK NYERERE
Mbona kama povu jingi sana ku nani?Wee nae hamna kitu unachukua vitu juu juu halafu unakuja kutoa conclusion kabla ya kuandika kitu au kutoa taarifa jiridhishe kwanza kama taarifa imekamilika kama haikukamilika tafuta mpk ikamilike vinginevyo ukiitoa nusu watu wanasema umekurupuka na siku zote ukiona mtu anakurupuka katika jambo lolote ujue hana anachokijua katika hilo jambo
Nenda kayatafute maneno yaliyobakia ndio uje kutoa unachotaka kusema vinginevyo maneno yako kama gunia la pumba huku ukijidai katika gunia kuna mchele
Kwani ndo aliwapa ubingwa? Kajikomesha mwenyewe kwa kujimwambafai kwakeMmeamua kutukomesha ili tusichukue ubingwa sio?