"Wewe unanifuatafuata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi " Hili kosa adhabu yake ndio kifungo cha miaka miwili?

Nimeshika neno " Manara Ni kichaa" imeisha hiyoooo
 
Na yeye karia alisema kitu gani siku ile?
 
Muache ale mvua ili siku nyingine awe na adabu kwa wakubwa zake maana amezidi ulopolopo
 
Tulikwenda nyumbani kwa karia na juice tukanywa na picha tukapiga[emoji16][emoji16].kumbe mwenzio alikuwa anamchora tu
Msifurahie, huenda akakata rufaa na adhabu kufutwa au kupunguziwa.
 
Hakunaa mtu mnafiki Kama manara.
Alipokuwa Simba alijifanya ana uchungu Sana na Simba.
Kaenda utopolo napo anajifanya ana uchungu Sana na utopolo.
dunia hii unafikii upo kila konaa... so ili mradi mkono uende kinywani
 
Hii ndio maana halisi ya chama cha watu, peoples power, kinapigania haki za watu wote.

ASANTE SANA MKUU erythrocytes kwa kupaza sauti.
 
Kwani Bumbuli na Nugaz wanasemaje?

Mbona nimewaona wanasheherekea kwa kunywa mvinyo?
 
Karia ni Tiss, enzi za mwenda zake alipewa jukumu la kumshughulikia wambura mpaka atokomee paspo julikana na hiyo kazi aliifanya vyema kwa msaada wa jiwe, kwakuwa kipindi kile wambura alionekana anamtazamo wa kilibelari kama alivyokuwa Edward lowasa

Sasa ni wakati wa huyu Tiss kuicha taasisi hii ya michezo na akafanye kazi zinazoendana na majukumu yake.

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Huyo msomali ni wa hovyo sana, kuna kipindi nafikiri akiwa Arusha alisikika akipiga siasa za kijinga sana kwa kumponda Tundu Lissu kipindi serikali ya Magufuli ilipotaka kumuua.

Alifanya hivyo ili aonekane kwa Magufuli kwamba na yeye hampendi Lissu kwani mbele ya dikteta Magufuli yeyote aliyekuwa akionyesha huruma kwa Lissu alionekana adui wa taifa. Bure kabisa huyu msomali.
 
Mbona kama povu jingi sana ku nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…