"Wewe unanifuatafuata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi " Hili kosa adhabu yake ndio kifungo cha miaka miwili?

Dogo Manara jeuri sana. Ana dharau na nyodo za kijinga. Amepata anachostahili!!!
 
Mbona kama povu jingi sana ku nani?
Ameandika ujinga unajua ili jambo linaitaji umakini kwakuwa kuna ushabiki ndani yake ivyo ukiripoti bila umakini watu hutuwezi kuelewa mwandishi amefanya makosa kuchukua taarifa nusu na kuja kujadili je kwa ww unadhani ni sahihi kutoa taarifa nusu na kuja kutoa conclusion?
 
Kama ni kweli alitamka Hayo maneno, ndani ya Hayo maneno kuna Jinai.


Ila kwa afya ya soka letu wakae chini walimalize hili.

Manara asaidie inawezekana kabisa kichwani hayuko sawa.
 
Hii ndio imenifanya nilete uzi huu
 
Kila ubaya utalipwa
 
Ni kazi yenu Utipolo kuweka maneno ya Karia. Wao TFF wameshaweka ya zeruzeru wenu.
 
tena tumiaka tuwili tuchache sana! huyu dogo kazoea sana
 
Hayo uLiyo-italize Ni Maneno yako au Kuna mtu umemnukuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii adhabu ni ndogo sana huyu alitakiwa apigwe miaka 10,toka lini umeona Rais wa nchi hii anarushiwa maneno namna hiyo,kiongozi lazima aheshimiwe huwezi kaa mbali basi
 
Mlalamikaji wa hili alikuwa nani na alilalamika kuhusu nini ? na Je Manara amehukumiwa kwa Kanuni ipi ?
Mlalamikaji ni mtendaji wa TFF, waliohukumu ni TFF.

Hapa kuna tatizo, Manara kata rufaa BMT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…