Kufungiwa miaka 2 hiyo nadhani siyo issue kubwa, ila hiyo 20 mil kama faini inatisha sana. Unless una biashara ya maana sana lakini siyo vinginevyo. Saizi ya Manara ni 2 mil.zinatosha kumpa funzo.
Manara Ana helaaaa amini maneno yangu,natamani kusema hapa afu mtoaji mzuri,mshahara wake si chini ya 30m ,20m kwake sio kitu kabisaa....najua nachokisema
mkuu kinacholeta ukakasi ni kuwa kamati wametamka maneno ya manara aliyomwambia Karia lakini kamati hawajaeleza ni nini Karia alimtamkia au kumfanyia Manara kikapelekea jamaa kumjibu hivyo . kamati itamke chanzo kilikuwa ni nini?