Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Habari wana JF,

Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.

Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.

Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.

Wewe unatumia njia gani?
 
Habari wanajf.
Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.

Confidence na utilivu ni jambo muhimu sana wakati huo.

Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence ,
Wewe unatumia njia gani?
Mimi huwa nawapa udogo na kutoa content ambazo hawajawahi kuzisikia kabla ya Jambo huwa natenga Muda wa kusoma vitabu na kuandaa tafakuri zinazogusa hisia za wasikilizaji .
 
Cha kwanza huwa najiambia kwamba hawa wote huwa wanakunya, na asubuhi ya leo wameshakunya na mavi yao yananuka sana kutokana na ulaji wao mbaya🤣🤣🤣, hapo confidence inajaa pipa zima.
Cha pili huwa nakumbuka maneno ya Bob Marley kwenye wimbo wa coming from the cold anasema "Well, the biggest man you ever did see was was just a baby". Kwamba hata hao tunaowaona wakubwa sana walishawahi kuwa watoto wachanga, walikua wanatoa makasi nk wasitutishe bana. Hayo yametosha kwa leo🤣🤣🤣
 
🤣Mbinu yako nzuri sana hii nitaijaribu nami next time
 
Confidence inajengwa toka utotoni katika makuzi,mtoto hujengewa misingi ya kujiamini,hata akikosea jambo asifokewe tu au kupigwa bali aelekezwe na kupewa moyo kua jambo hilo anaweza kulifanya kwa usahihi,

Mpe mtoto chance ya kufanya maamuzi na kujaribu vitu,sio kila jambo uwe unamuongoza wewe tu,atakua na utegemezi na ndio chanzo cha kutokujiamini.,

Binafsi nina confidence kwa mtu yeyote yule coz nimelelewa katika misingi hiyo.
 
Mm nimeanza kua na confidence ukubwani,udogoni nilikua na uoga sanaa
 
Back
Top Bottom