Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

Habari wana JF,

Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.

Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.

Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.

Wewe unatumia njia gani?
We kumbafu kabisa🤣🤣🤣🤣

Mimi ukinipa hiyo nafasi utakoma
 
Habari wana JF,

Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.

Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.

Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.

Wewe unatumia njia gani?
Hiyo ndo njia sahihi
 
Interview ya maana ni ubalozi kuomba viza tu, waliobaki wote ni watu wa kawaida sana.

Tena hao wenye vyeo 90% ndio maandazi kabisa wanabebwa na Academic certificate tu na siyo intelligent.
Sasa kama documents zote za kuombea viza zimetimia kipi kitakukeresha, labda kama documents zako za magumashi ndiyo utatetereka kwenye interview! Documents zikitimia hata kama lugha gongana bado nitapata viza tu!! Alafu hii tabia ya mtu mweusi kuogopa ngozi nyeupe na kuzdharau ngozi nyeusi punguzeni kidogo Dunia sasa imebadilika pakubwa sana!!
 
Back
Top Bottom