hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Mimi huwa nawapa udogo na kutoa content ambazo hawajawahi kuzisikia kabla ya Jambo huwa natenga Muda wa kusoma vitabu na kuandaa tafakuri zinazogusa hisia za wasikilizaji .Habari wanajf.
Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.
Confidence na utilivu ni jambo muhimu sana wakati huo.
Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence ,
Wewe unatumia njia gani?
Umetumia vigezo gani kuita watu mandazi.?Interview ya maana ni ubalozi kuomba viza tu, waliobaki wote ni watu wa kawaida sana.
Tena hao wenye vyeo 90% ndio maandazi kabisa wanabebwa na Academic certificate tu na siyo intelligent.
Kila mtu ana mtu au watu anaowaogopa au waliomzidi na hao ndio tunaozungumziaInterview ya maana ni ubalozi kuomba viza tu, waliobaki wote ni watu wa kawaida sana.
Tena hao wenye vyeo 90% ndio maandazi kabisa wanabebwa na Academic certificate tu na siyo intelligent.
Watu wote huwa wanapima unachokijua kichwani na sio vyeo , ukiongea content nzuri utasikilizwa kwa umakini usijipe udogo kuwa classic kwa kila Kitu.Kila mtu ana mtu au watu anaowaogopa au waliomzidi na hao ndio tunaozungumzia
Umetumia vigezo gani kuita watu mandazi.?
🤣Mbinu yako nzuri sana hii nitaijaribu nami next timeCha kwanza huwa najiambia kwamba hawa wote huwa wanakunya, na asubuhi ya leo wameshakunya na mavi yao yananuka sana kutokana na ulaji wao mbaya🤣🤣🤣, hapo confidence inajaa pipa zima.
Cha pili huwa nakumbuka maneno ya Bob Marley kwenye wimbo wa coming from the cold anasema "Well, the biggest man you ever did see was was just a baby". Kwamba hata hao tunaowaona wakubwa sana walishawahi kuwa watoto wachanga, walikua wanatoa makasi nk wasitutishe bana. Hayo yametosha kwa leo🤣🤣🤣
bado mnawaza kunywa chai kipindi hikiNi mda wa chai huu nazan
Nguvu za kiume zinapimwa na nn mkuuKwa kujua nawazidi Nguvu za kiume. Basi nawaona wepesi sana
Mm nimeanza kua na confidence ukubwani,udogoni nilikua na uoga sanaaConfidence inajengwa toka utotoni katika makuzi,mtoto hujengewa misingi ya kujiamini,hata akikosea jambo asifokewe tu au kupigwa bali aelekezwe na kupewa moyo kua jambo hilo anaweza kulifanya kwa usahihi,
Mpe mtoto chance ya kufanya maamuzi na kujaribu vitu,sio kila jambo uwe unamuongoza wewe tu,atakua na utegemezi na ndio chanzo cha kutokujiamini.,
Binafsi nina confidence kwa mtu yeyote yule coz nimelelewa katika misingi hiyo.