The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sometimes maisha yanaweza kukubadilisha mkuu hasa katika harakati za kutafuta maisha na kujichanganya na watu japo hii hua ni nadra sana kuliko ile njia ya malezi.Mm nimeanza kua na confidence ukubwani,udogoni nilikua na uoga sanaa
Hiyo no (2) ndiyo tunaozungumziaUtasikilizwa tu ikiwa una
(1)Hoja za maana (content)
(2)confidence
(3)kuwaheshimu wanaokusikiliza
Unakuta kuna wanawake pia mkuuKwa kujua nawazidi Nguvu za kiume. Basi nawaona wepesi sana
Nakubali hii Mimi nilikuwa muhanga piaBinafsi naingiagq ktk Vikao vya bodi ya wakaurugenzi, wakati wa kuwasilisha Ripoti ya idara yangu.
Na mimi pekee ndio kijana wengine wote ni wazee na wenye mamlaka hata ya kumtoa DG/CEO/MD.
So Mbinu nayotumia ni SAUTI. Ukiongea kwa SAUTI kubwa unagain confidence try.
Nakazia ππ¨Interview ya maana ni ubalozi kuomba viza tu, waliobaki wote ni watu wa kawaida sana.
Tena hao wenye vyeo 90% ndio maandazi kabisa wanabebwa na Academic certificate tu na siyo intelligent.
Si wanasiasa wanaongea pumba watu wanapiga MAKOFI tu.. hahahahNakubali hii Mimi nilikuwa muhanga pia
nilimfata rafikiyangu yeye ni mwanasheria akanambia kama kunakikao hata kma huna hoja ya kutoa ukipewa nafas usikae kimya unga mkono hata hoja zilizopita toa hata shukrani Kwa waliowasilisha hoja zao
Kujiamini kunaanzia hapo
Wengine nafikir ni nature Yao tu mwingine anaongea pumba kabisa πlkn unashangaa anajiamini balaa
ππYani acha tu Umenikumbusha Kuna mkaka nilisoma nae Yan akisimama tu lazima watu wagune lakin bhana anaongea balaa hata nusu saa na Cha maana hamna πππSi wanasiasa wanaongea pumba watu wanapiga MAKOFI tu.. hahahah
Bongo mwanamke mwenyewe tako ana confidence kuliko mwanamke mwenye degree.Ukijiamini utaanza kujikubali baada kujikubali uatakua jasiri. Bila kujali elimu au mafanikio uliyonayo
Bora upate kila chakul unaeza kufa gafla ukaenda mangojeon na njaabado mnawaza kunywa chai kipindi hiki
Mkuu kwann usiandike uzi kabsa kuhusu hyo story ya kufumaniwa?Mimi bwana naweza kuwa sielewi natoa wapi confidence , mimi kosa lako kunipa muda nionngee hapo kaa ujue sitakuogopa hata uwe nani .
Nilifumaniwa na wanakijiji na mke wa mwanakijiji , nikatimuliwa ili nipigwe nikaingia kwenye ofisi za kijiji , huku nawaza nachomokaje , kosa ni pale mtendaji aliposema nijitetee niliongea kama lisaa wanakijiji wakaanza kutawanyika mmoja baada ya mwingine .
Hapo nataja vifungu vya sheria kuwa wakiniuwa basi wanalo wataacha familia zao , mara utajiri wao utakoma mpaka namaliza nilikuwa na watu wanne tu , demu niliyefumwa naye , mmewe na wazazi wa binti wakaitwa ndani tukayajenga ikanitoka mia hamsini maisha yakaendelea .
Hivyo mimi nikianza kuongea hata uwe nani sikuogopi tena .
Note: ukiitwa sehemu yoyote kwenye kikao au mafunzo hata kama utakutana na mtu mkubwa kiasi gani by that time you belongs to the same group.Habari wana JF,
Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk.
Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo.
Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence.
Wewe unatumia njia gani?
Hii iliwahi nisaidia sehemuBinafsi naingiagq ktk Vikao vya bodi ya wakaurugenzi, wakati wa kuwasilisha Ripoti ya idara yangu.
Na mimi pekee ndio kijana wengine wote ni wazee na wenye mamlaka hata ya kumtoa DG/CEO/MD.
So Mbinu nayotumia ni SAUTI. Ukiongea kwa SAUTI kubwa unagain confidence try.