Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

We kumbafu kabisa🤣🤣🤣🤣

Mimi ukinipa hiyo nafasi utakoma
 
Nadhani inafikaga tu muda wa do or die unajikuta tu mtu unakuwa na ujasiri wa kuongea mbele za watu
 
Hiyo ndo njia sahihi
 
Interview ya maana ni ubalozi kuomba viza tu, waliobaki wote ni watu wa kawaida sana.

Tena hao wenye vyeo 90% ndio maandazi kabisa wanabebwa na Academic certificate tu na siyo intelligent.
Sasa kama documents zote za kuombea viza zimetimia kipi kitakukeresha, labda kama documents zako za magumashi ndiyo utatetereka kwenye interview! Documents zikitimia hata kama lugha gongana bado nitapata viza tu!! Alafu hii tabia ya mtu mweusi kuogopa ngozi nyeupe na kuzdharau ngozi nyeusi punguzeni kidogo Dunia sasa imebadilika pakubwa sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…