Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawe muhimu sanaBwana Yesu asifiwe,
Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,
Watu wamekamatia siku yako hukui,
Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,
Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,
Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,
Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.
#HUDUMA HII NI BURE KABISA
View attachment 2848928
Sahihi kabisa,Dunia ina watu aina mbili tu.
1.Wanaoamini katika Mungu wa kweli
2. Wasioamini katika Mungu wa kweli
Tangazo hili, linawahusu wenye kuamini hiko, na wewe usiyeamini, ukirofi wa nini? Matusi ya nini?
Waache waende wanaoamini na wewe nenda huko unakoamini! Shida yako ni ipi?
Watoto walikula keki ya Mwamposa?Mimi watoto wangu hawakuwa vizuri darasani ila Sasa ni moto wa kuotea mbali
Si kaandikia wase.nge wenzake tuje kusoma 😆😆Umeandika usenge.
Wajinga ndiyo waliwao.Bwana Yesu asifiwe,
Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunawatu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati unazaliwa,
Watu wamekamatia siku yako hukui,
Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka,
Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa mwili tu vingine vyote viko palepale,
Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,
Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.
#HUDUMA HII NI BURE KABISA
View attachment 2848928
Kwani nani amekufunga mkuu?Hii si yakukosa Mimi nitakuwepo naamini Mungu atatufungua kikamilifu,
Tunafanya kama vile wenye dini wanavyojaribu kutuokoa sisi tusio na dini: wana wapotevu. Inaaminika tupo upande wa shetani (ambaye hayupo kama Mungu). Na sisi tunajaribu kuwavuta huku kwenye amani na uhuru kwa maisha ya duniani.Dunia ina watu aina mbili tu.
1.Wanaoamini katika Mungu wa kweli
2. Wasioamini katika Mungu wa kweli
Tangazo hili, linawahusu wenye kuamini hiko, na wewe usiyeamini, ukirofi wa nini? Matusi ya nini?
Waache waende wanaoamini na wewe nenda huko unakoamini! Shida yako ni ipi?
Siyo kwamba sasa hivi wanasoma sana?Mimi watoto wangu hawakuwa vizuri darasani ila Sasa ni moto wa kuotea mbali
Hii nchi hatupendani kabisa, Hata Wewe kunamahala wamekamatia usiruke twende Kawe ninapaamini sana kwa kufungua na kuweka huruKwani nani amekufunga mkuu?
Tatizo la uzi ni nini?Mods mim kama mkuu wenu nawaamuru mchague moja kuacha kaz au kumpiga bann melo kwa kuruhusu kuweka huu uzi hapa
nenden mkalishwe mafuta ya albino na watoto wachangaBwana Yesu asifiwe,
Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao,
Watu hao wamekamatia siku yako yako ya kuzaliwa ndio maana wewe hukui kama wenzako.
Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Hukui kimichezo,
Hukui kiutajiri,
Hukui kiroho,
Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka " Siku imesisima"
Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa kimwili tu vingine vyote viko palepale havikui kabisa,
Njóo Apostle atafafanua vizuri zaidi,
Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,
Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.
#HUDUMA HII NI BURE KABISA
View attachment 2848928
Daaah, kweli Kazi bado sanaHuyo Mnyaki kafanikiwa kuwaroga wanawake tu waliokosa waume.
Sidhani kama kuna mwanamume anayejielewa anaweza kwenda kwa huyo tapeli labda kama ameenda kuwinda wanawake na wadada wa kanisa lake
Kuna Jumanne moja jioni nilipita mitaa ya hapo ndio wanatoka kupata upako kuna kila aina ya pisi ila ni zile zilizoshindikana
Mafuta tunakwenda nayo mkuu tena ni ya alizetinenden mkalishwe mafuta ya albino na watoto wachanga