Bwana Yesu asifiwe,
Jumapili hii, Mtumishi wa Mungu na mpakwa mafuta Apostle Bornface Mwamposa Bulldozer ataongoza maelfu katika ibada ya kula keki ya Upako hapa Kawe siku ya Jumapili,
Kunamtu ulilogwa tangu ukiwa tumboni mwamama yako au wakati tu unazaliwa watu wabaya wakafanya yao,
Watu hao wamekamatia siku yako yako ya kuzaliwa ndio maana wewe hukui kama wenzako.
Hukui kielimu,
Hukui kiuchumi,
Hukui kifikra,
Hukui kisiasa,
Hukui kiafya,
Hukui kimwili,
Hukui kimichezo,
Hukui kiutajiri,
Hukui kiroho,
Yaani siku yako haihesabiwa katika siku za wiki, Mwezi au Mwaka " Siku imesisima"
Kwalugha nyepesi wapekupiga "Pause" unakuwa kimwili tu vingine vyote viko palepale havikui kabisa,
Njóo Apostle atafafanua vizuri zaidi,
Karibu sana Ufunguliwe bila kujali dini Wala itikadi yako,
Amen,
Naomba Mtume na Mimi unibarariki nimesaidia kutoa taarifa hii kwa Umma ili nijibiwe maombi yangu 12 kabla ya mwaka kuisha.
#HUDUMA HII NI BURE KABISA
View attachment 2848928