Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Dunia ina watu aina mbili tu.

1.Wanaoamini katika Mungu wa kweli

2. Wasioamini katika Mungu wa kweli

Tangazo hili, linawahusu wenye kuamini hiko, na wewe usiyeamini, ukirofi wa nini? Matusi ya nini?

Waache waende wanaoamini na wewe nenda huko unakoamini! Shida yako ni ipi?
 
Kawe muhimu sana
 
Sahihi kabisa,
Watu wa shetani wanapanic sana kwa tangazo hili,
 
Wajinga ndiyo waliwao.
 
Tunafanya kama vile wenye dini wanavyojaribu kutuokoa sisi tusio na dini: wana wapotevu. Inaaminika tupo upande wa shetani (ambaye hayupo kama Mungu). Na sisi tunajaribu kuwavuta huku kwenye amani na uhuru kwa maisha ya duniani.

Tuzoeane tu, wakati wengine wanatangaza injili na sisi tunakuja kugongelea msumari hapohapo.
 
Huyo Mnyaki kafanikiwa kuwaroga wanawake tu waliokosa waume.

Sidhani kama kuna mwanamume anayejielewa anaweza kwenda kwa huyo tapeli labda kama ameenda kuwinda wanawake na wadada wa kanisa lake

Kuna Jumanne moja jioni nilipita mitaa ya hapo ndio wanatoka kupata upako kuna kila aina ya pisi ila ni zile zilizoshindikana
 
nenden mkalishwe mafuta ya albino na watoto wachanga
 
Daaah, kweli Kazi bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…