Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Ma*ae MMEAMRISHWA kuwa mashoga siwezi kushangaa ukijiteteaUsiombee huu Ushoga ndg yangu, ila baraka sio sakrement elewa, hivyo
Usiwe mkurupukaji tu,
Papa kasema we vitu vyao vibarikiwe ila sio ndoa
Wote wasio fanikiwa HAWAFANYI kazi????Mamilioni hawawez kuw wajinga ? Badala watu wafanye kazi wapate maendeleo mnahamasishana ujinga , nmesema hivyo kwa sababu naitambua njia ya maendeleo ya kweli ni kufanya kazi kwa akili basi na si vinginevyo .
Kufanya kazi kwa akili soma tena.Wote wasio fanikiwa HAWAFANYI kazi????
Staged ,fake testimonyHii si yakukosa Mimi nitakuwepo naamini Mungu atatufungua kikamilifu,
Niliomba kampuni yangu ipate kazi Sasa naona kazi zimenizidi sana aise, Kawe sio pamchezo hata kidogo
Ukatoliki haukupeleki mbinguniNjoo kanisa moja katoliki na la mitume. Huko kwingine unapoteza muda. Lini kanisa likawa la mtu? Mtapogwa sana wao wanazidi kujenga mahotel tu kwao mbeya
Hongera,haya mwakani uje na hizo AKILI ZAKO utuambie umefikia wapi.Kufanya kazi kwa akili soma tena.
Huyo Mungu wa mwamposa ni Mungu gani? Yeye ana Mungu wake peke yake? Kama ni huyu huyu Mungu tunayemjua ina maana huyo Mungu anamsikiliza zaidi Mwamposa kuliko wewe? Wewe ukimuomba huyo Mungu hakusikilizi mpaka umuombe kupitia huyo mwamposa?Mungu wa Mwamposa anajibu kwa haraka sana,
Niliomba nyumba nimalize tayari,
Nikaomba ushindi kwa watesi tayari,
Nikaomba baraka , tayari
Nikaomba kibali , tayari
Nikaomba uzima, tayari
Nifike wap tena !! ? Punguza hasira , fanyeni kazi hakuna miujiza kwenye mafanikio , unatakiwa upambane haswa.Hongera,haya mwakani uje na hizo AKILI ZAKO utuambie umefikia wapi.
Ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa mkuu.
Usikufuru Mungu please. Aliyekufanikishia hilo jambo ni Mungu na siyo Mwamposa. Hakuna dhambi mbaya kama kushindwa kumpa Mungu utukufu wake pale inapostahili. Wengi waliofanya hivyo Mungu hakuwaacha. Ndiyo maana Mtume Paulo na wenzake walikuwa waangalifu sana kutogusa utukufu wa Mungu pale walipotenda miujiza.Yaani hata Mimi niliomba Jambo hilooo,limetimia.tena nilisema kabla ya mwaka haujaisha.
Mwamposa NI habari nyingine
Ni baba wao wa kiroho,hapa sijaelewa imekuwaje tena na mayele tuachane na tulia kwanza..?
mayele huyu naemjua..?Ni baba wao wa kiroho,
Ukatoliki haukupeleki mbinguni
Baada ya kujitafakari ndo wakaanzisha UKARISMATIKI.
Je una tofauti gani na ibada za kiroho.
Katoliki hata BIBLIA hawaijui.ibada lisaa limoja TU,Neno SAA ngapi kufundishwa???
Mkae kwa kutulia,Jumapili kaweeeee tuna Jambo letu la kumalizia mwaka.
Wakatoliki endeleeni na mashoga na ushoga na kuubariki.ππππ
Wakatoliki wote wasomi hawahitaji masaa mengi kanisani kana kwamba ni slow learnersUkatoliki haukupeleki mbinguni
Baada ya kujitafakari ndo wakaanzisha UKARISMATIKI.
Je una tofauti gani na ibada za kiroho.
Katoliki hata BIBLIA hawaijui.ibada lisaa limoja TU,Neno SAA ngapi kufundishwa???
Mkae kwa kutulia,Jumapili kaweeeee tuna Jambo letu la kumalizia mwaka.
Wakatoliki endeleeni na mashoga na ushoga na kuubariki.ππππ
Nyie watu ni kama vile mmekatwa vichwa,sijui hao wachungaji hua wanawafanya nini tu? Hua wanachukua akili zenu kisha wanakaa nazo wao?Wewe ndio mjinga yaani watu kwa mamilioni wawe wajinga ila wewe mmoja ndio mjanja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Mnyaki kafanikiwa kuwaroga wanawake tu waliokosa waume.
Sidhani kama kuna mwanamume anayejielewa anaweza kwenda kwa huyo tapeli labda kama ameenda kuwinda wanawake na wadada wa kanisa lake
Kuna Jumanne moja jioni nilipita mitaa ya hapo ndio wanatoka kupata upako kuna kila aina ya pisi ila ni zile zilizoshindikana
Kama kungekuwa hakuna impact yeyote inayopatikana watu wasingekuwa wanaenda kwake !!Mwamposaa anatumiaaa nn kushawishi watanzania?