Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Wewe unayesumbuliwa na nuksi, mikosi, mabalaa, Biashara, Umasikini, migogoro kwenye familia, kufeli masomo, michezo, njoo kwa Bulldozer Mwamposa

Njoo kanisa moja katoliki na la mitume. Huko kwingine unapoteza muda. Lini kanisa likawa la mtu? Mtapogwa sana wao wanazidi kujenga mahotel tu kwao mbeya
Ukatoliki haukupeleki mbinguni
Baada ya kujitafakari ndo wakaanzisha UKARISMATIKI.
Je una tofauti gani na ibada za kiroho.
Katoliki hata BIBLIA hawaijui.ibada lisaa limoja TU,Neno SAA ngapi kufundishwa???
Mkae kwa kutulia,Jumapili kaweeeee tuna Jambo letu la kumalizia mwaka.
Wakatoliki endeleeni na mashoga na ushoga na kuubariki.😂😂😂😂
 
Mungu wa Mwamposa anajibu kwa haraka sana,

Niliomba nyumba nimalize tayari,
Nikaomba ushindi kwa watesi tayari,
Nikaomba baraka , tayari
Nikaomba kibali , tayari
Nikaomba uzima, tayari
Huyo Mungu wa mwamposa ni Mungu gani? Yeye ana Mungu wake peke yake? Kama ni huyu huyu Mungu tunayemjua ina maana huyo Mungu anamsikiliza zaidi Mwamposa kuliko wewe? Wewe ukimuomba huyo Mungu hakusikilizi mpaka umuombe kupitia huyo mwamposa?

Kwahiyo huyo Mungu ana ubaguzi wa kumsikiliza mwamposa akiwaombea watu kwake ila watu wakimuomba wao wenyewe huyo Mungu hawasikilizi?
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20231218-141620_Gallery.jpg
    Screenshot_20231218-141620_Gallery.jpg
    129 KB · Views: 4
Yaani hata Mimi niliomba Jambo hilooo,limetimia.tena nilisema kabla ya mwaka haujaisha.
Mwamposa NI habari nyingine
Usikufuru Mungu please. Aliyekufanikishia hilo jambo ni Mungu na siyo Mwamposa. Hakuna dhambi mbaya kama kushindwa kumpa Mungu utukufu wake pale inapostahili. Wengi waliofanya hivyo Mungu hakuwaacha. Ndiyo maana Mtume Paulo na wenzake walikuwa waangalifu sana kutogusa utukufu wa Mungu pale walipotenda miujiza.

Wewe na Mwamposa wako si lo lote wala cho chote bila Mungu. Tubuni!
 
Ukatoliki haukupeleki mbinguni
Baada ya kujitafakari ndo wakaanzisha UKARISMATIKI.
Je una tofauti gani na ibada za kiroho.
Katoliki hata BIBLIA hawaijui.ibada lisaa limoja TU,Neno SAA ngapi kufundishwa???
Mkae kwa kutulia,Jumapili kaweeeee tuna Jambo letu la kumalizia mwaka.
Wakatoliki endeleeni na mashoga na ushoga na kuubariki.😂😂😂😂
 
Ukatoliki haukupeleki mbinguni
Baada ya kujitafakari ndo wakaanzisha UKARISMATIKI.
Je una tofauti gani na ibada za kiroho.
Katoliki hata BIBLIA hawaijui.ibada lisaa limoja TU,Neno SAA ngapi kufundishwa???
Mkae kwa kutulia,Jumapili kaweeeee tuna Jambo letu la kumalizia mwaka.
Wakatoliki endeleeni na mashoga na ushoga na kuubariki.😂😂😂😂
Wakatoliki wote wasomi hawahitaji masaa mengi kanisani kana kwamba ni slow learners
 
Huyo Mnyaki kafanikiwa kuwaroga wanawake tu waliokosa waume.

Sidhani kama kuna mwanamume anayejielewa anaweza kwenda kwa huyo tapeli labda kama ameenda kuwinda wanawake na wadada wa kanisa lake

Kuna Jumanne moja jioni nilipita mitaa ya hapo ndio wanatoka kupata upako kuna kila aina ya pisi ila ni zile zilizoshindikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom