Wezi wamevunja fremu na kuiba, sijui naanza hatua gani hapa wakuu. Naombeni msaada wenu

Has wezi
Siku hizi wana kadi za sisiemu ukiwapeleka polisi ni kupoteza muda wako bure ...kwani amjui kuwa polisi ni toilet paper ya sisiemu ....huku mtaani kwetu vibaka wote majambazi wote wapo ccm vijana...na wamama mataperi na malaya wote wamejiunga ccm ...hivyo unatakiwa kujua sababu.
 
Swali kwa wataalam

Je Tanzania kuna kampuni ya bima ambayo inaweza kukufidia endapo wezi wakiiba kwenye biashara yako? Au moto ukiunguza?
Naomba mtutajie majina ya kampuni na Gharama ya bima kulingana na thamani ya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…