Hii mbaya sana! Nimemuona muhanga mmoja anavyolia na nimtu mzima wa miaka 30 nimejisikia vibaya! Alimalizia akiba yake yote kuandaa gari kwa season mpya alafu wamempukutisha!Ujinga kama huo ulikuwa unafanyika Dar kati ya miaka ya 80 mpaka 90's , unaibiwa kioo cha gari unakikuta gerezani/kidongo chekundu unauziwa tena kioo chako.
Kuna hatari ya utalii kuporomoka huko.Arusha kuna uhuni mwingi usipodhibitiwa itajakuwa ni hatari sana. Maajabu ya wadudu ubabe na vitendo vya kihalifu na uhuni ni mambo wanayojivunia na kuyashangilia, inashangaza sana.
Mamlaka zichukue hatua stahiki mapema.Kuna hatari ya utalii kuporomoka huko.
Shida ingine huyo dogo aliepelekwa huko A town,Alipokua dar aliamuru bar zifungwe saa 6 usiku matokeo yake mapato yalishuka kwa kasi.Mamlaka zichukue hatua stahiki mapema.
Mwenye wadudu wake anasemaje?Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za land cruisers , Exels za land cruisers, na vifaa vingine vya magari ya watalii!
Vifaa hivyo huuzwa kwa wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!
Sakina, Kwa iddi, Ngaramtoni, unga ltd , kwa ujumla ni mitaa yote wanapita usiku kama ma inspectors wa magari wengine wakiwa wamelala!
Mkuu wa mkoa sema neno juu ya hili vijana wako hapo Arusha wanalia mnno!
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za land cruisers , Exels za land cruisers, na vifaa vingine vya magari ya watalii!
Vifaa hivyo huuzwa kwa wadau ambao huviuza tena kwa wahanga!! Vilio ni vingi mno!
Sakina, Kwa iddi, Ngaramtoni, unga ltd , kwa ujumla ni mitaa yote wanapita usiku kama ma inspectors wa magari wengine wakiwa wamelala!
Mkuu wa mkoa sema neno juu ya hili vijana wako hapo Arusha wanalia mnno!
Wadudu kaziniKumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za land cruisers , Exels za land cruisers, na vifaa vingine vya magari ya watalii!