KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

KERO Wezi wamezidi usiku Arusha. Wizi wa vifaa vya magari majumbani mwa watu UMEZIDI. Mamlaka chukueni hatua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Njooni OLASITEEE mjifunze mfano....kwani petroli inekuwa adimu?
 
Nyie si ndio mnajiitaga wadudu? Leo imekuwa hayo?
 
Suluhu ni rahisi sana mtafuteni Kangi Lugola yeye alivyokuwa waziri wa ndani alikomesha kabisa hizi mbanga alichofanya ni kuitisha kikao na makamanda polisi wilaya na mikoa kisha akawapa angalizo eneo lako likiibiwa nakuwajibisha wizi ulikoma ..amini kwamba polisi wana siri nzito sana kuhusu wahalifu
 
Saa moja unusu nakatiza Mianzini mdogomdogo narudi zangu hotel mara ghalfa watoto ambao hata sikuwawazia;

Dogo: "Bro kata simu unipe, ukileta za kuleta nakuvurugua maini sasa hivi" (huku sime kubwa na kali limegusa upande wa kushoto wa tumbo)

Mimi: "Sawa"
 
Back
Top Bottom