WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

PLOII

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,126
Reaction score
849
Guys wajinga sio Bongo tu na Mwangosi na Dube wana Role Model wao huku England.

I was very FLABBERGASTED a such Professional Player, you turn a clumsy cross while you've an option to score or give a cross earlier before the critical deadlock from the two defenders.

Number of goals this season mean a lot not only winning but also scoring many goals as much as possible Will be a stepping stone to win the PL Trophy
.
Tunahitaji best Signings honestly.​
 
Arsenal ime collapse, wachezaji hawana confidence tena, yote kwasababu ya Arteta anatetemeka.

Tumeanza ligi vizuri tumeongoza muda mrefu tukishambulia wapinzani, wachezaji wakijiamini.

Ghafla Arteta anabadilisha mfumo, kutoka kujiamini kushambulia, now tunacheza mchezo wa kuvizia, ushinde 1-0.

Hii ni ngumu kwa ile ligi ya EPL, kuna timu sumbufu sana kule, Brentford, Brighton, Eveton, Bournemouth, Villa, hawa sio wa kuvizia ushinde 1-0, huwa wana score uwanja wowote.

The best way to beat them, outscore them, sasa utawa outscore vipi kama Arsenal inategemea ushindi wa kubahatisha?

Simlaumu Viktor or anybody else, tatizo la Arsenal nowadays ni Arteta.
 
Tatizo arsenal mnawachezaji wa kawaida mno yaani hawawezi kuamua game au kuwapa ushindi kwenye mechi za muhimu too average
Arsenal haina wachezaji wa kawaida, Arteta ndie kawafanya wawe wa kawaida.

Rice =100milion pound
Zubimendi = 35 milion pound, R.Madrid ya Alonso alimtaka huyu akamkosa akaja Arsenal.

Hincapie = 35 mil pound from Bayer Leverkusen, jana Newcastle wameteseka sana, hawajapita kabisa alipokuwa.

Gabriel, Saliba & Eze hawa ni world class players.

Raya kawa kipa bora wa ligi ya EPL misimu miwili mfululizo, huu utakuwa wa tatu, ana clean sheets nyingi zaidi.

Arsenal hawana mchezaji wa kawaida. Tatizo Arteta ndie amewafanya waonekane wa kawaida.
 
Arsenal striker ni gabriel jesus tu, wle wengine ni wachezaji wa mbele, huwezi weka jesus benchi ucheze na JOKEres, ama havertz, arteta ni mpuuzi na hili niliwaambia watu fulani wakabisha, hata yule zubimendi nae hana aukali huo, ni kosa kumuachia partey kizembe.
Arsenal nzima wachezaji wa maana ni
RAYA
SALIBA
TIMBER
GABRIEL MALGAHLES
RICE

Afadhali afadhali
JESUS
EZE
TROSSARD(inategemea ameamkia upande gani)
CALAFIORI
HINCAPIE
MOSQUERA

nyingine ni takataka tu, na ukitizama kwa makini ambao ni bora wemgi ni idara ya ulinzi
 
Arteta hayupo serious na idara ya ushambuliaji ya arsenal hivi karibuni walipita na mpk sasa wapo watu kama hawa, hawa wanakupaje titles?, hawa wote ni avarage players.

Willian
Sterling ( tena huyu ndo takataka)
Madueke
Martinelli
G jesus
Havertz
Gyokeres ( huyu kwakua ndo msimu wake wa kwanza ngoja tuone)
Trossard
 
Gyokeres hamna kitu, mchezaji control chumba na sebule.
1st touch mbovu, hapo ni jesus tu
 
Arsenal striker ni gabriel jesus tu, wle wengine ni wachezaji wa mbele, huwezi weka jesus benchi ucheze na JOKEres, ama havertz, arteta ni mpuuzi na hili niliwaambia watu fulani wakabisha, hata yule zubimendi nae hana aukali huo, ni kosa kumuachia partey kizembe.
Arsenal nzima wachezaji wa maana ni
RAYA
SALIBA
TIMBER
GABRIEL MALGAHLES
RICE

Afadhali afadhali
JESUS
EZE
TROSSARD(inategemea ameamkia upande gani)
CALAFIORI
HINCAPIE
MOSQUERA

nyingine ni takataka tu, na ukitizama kwa makini ambao ni bora wemgi ni idara ya ulinzi
Arteta mbovu, anaharibu viwango vya wachezaji kwa mbinu zake passive. Hata Jesus akicheza huwa hana maajabu yoyote.

Gyokeres yule kafunga magoli mengi akiwa Sporting, don't tell me Ureno ni ligi isiyo na ushindani ukilinganisha na Epl.

Mshambuliaji yeyote anahitaji kulishwa na mawinga au viungo ili afunge, sasa kwa Arsenal ile isiyo "function" Gyoko atafungaje magoli?

Hata Haaland, mara ngapi tunaona wakina Doku na Cherki, na Semenyo wakibanwa anaishia kusimama mbele peke yake mpaka Guardiola anamtoa?

Kuna mechi kadhaa zimepita Halaand alikuwa hafungi, sababu ni wanaomlisha walibanwa. Striker yeyote sio malaika afunge tu, anahitaji kuhudumiwa mlishe mipira akiwa kwenye nafasi.

Tena Gyoko siku hizi yuko full of confidence, tatizo Arteta ana mipango yake mibovu kichwani anaharibu confidence ya mchezaji kwa kumuweka bench kizembe.

Eze alikuwa wa moto Crystal Palace kama alivyokuwa Olise, now tazama Olise anavyoendeleza moto wake akiwa Bayern, kisha ona Ez alivyokuwa wa kawaida Arsenal.

Arsenal imejaa international players, Saka & Rice - England, Saliba - France, Gabriel -Brazil, Hincapie-Ecuador, Havertz -Germany, Raya & Zubimendi-Spain hata kama sio first choices.

Euro iliyopita, Rodri aliumia timu ya taifa Spain ikielekea QF, Zubimendi akachukua nafasi yake akaipeleka Spain mpaka fainali wakachukua kombe, halikuonekana pengo la Rodri. Huyu sio mchezaji wa kawaida.

Kocha wa Spain kila siku anaulizwa na waandishi wa habari kwanini huwa haanzi na wote wawili [Rodei & Zubi], anasema inamlazimu iwe hivyo timu iwe na balance anayoitaka, lakini anaujua umuhimu wa Zubi kwa timu yake.

Gyoko kaibeba timu yake ya taifa ya Sweden juzi tu kawapeleka World Cup, utamuitaje huyu striker wa kawaida?!

Imefika stage now Arteta anamuona Gyoko hafai anaamua kuanza na Havertz, hii ni kwasababu Arsenal kwa sasa haina chemistry, wanacheza pira la ajabu ndio maana anaanza na Havertz ili akabe na kufunga at the same time.

Tatizo ni Arteta, kocha muoga asiyetaka kuacha wachezaji wacheze kwa uhuru uwanjani, anawabana kwa mbinu zake za kushambulia kwa kuvizia ashinde 1-0 kila mechi, ametufelisha yule kocha.

Arsenal haina mchezaji wa kawaida, tuna kocha wa kawaida.

Amekaa Arsenal miaka 6 tumeshinda FA 2021 nothing else, licha ya Arsenal kutumia karibia pound bil. 1 kwenye usajili kwa miaka yote sita Arteta aliyokuwepo kazini.

Show some respect kwa wale wachezaji, kama wangekuwa kwa makocha wenye akili kama Iraola wa Bournemouth ndio ungejua uwezo wao halisi.
 
Masquera Mtoe kichwa kama Chalamila hamna kitu
 
A gospel truth
 
Hili suala nitakujibu nikiwa na wakat mzuri wa kuandika maelexo marefu
 
Arsenal striker ni gabriel jesus tu
Are you serious mkuu? Jesus hawezi finishing kabisa labda chenga chenga tu. Gyokeres is a proper 9 anakosa tu pasi za mwisho maana timu imeshakariri kutumia wings kufanya mashambulizi.

Nadhani angekua anacheza timu ambayo ina toa mipira ya kutosha kama bayern au city angekua na goli 50 msimu huu.

Mfumo wa Arteta ni mbovu sana timu ipo Conservative mnoo.
 
Kwa mfumo huo huo mbovubwa arteta jesus ndio bora sasa, akicheza unamuona mtu, anashuka kucheza na timu, anaweza kuchukua mali kusogea nayo juu, IQ na controll zake za mpira zipo juu, anakupa vingi, kukosa huko ni kupi na hapewi nafasi?
Gyokeres ni seleman mwalimu wa ulaya.
Mchezaji controll chumba na sebule.
 
Back
Top Bottom