WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

WHAT A SHAME TO Viktor Gyökeres; Arsenal tunatahitaji Mchezaji Bora kwenye lile eneo la Victor better more to use Gabriel Jesus sio hii takataka

Are you serious mkuu? Jesus hawezi finishing kabisa labda chenga chenga tu. Gyokeres is a proper 9 anakosa tu pasi za mwisho maana timu imeshakariri kutumia wings kufanya mashambulizi.

Nadhani angekua anacheza timu ambayo ina toa mipira ya kutosha kama bayern au city angekua na goli 50 msimu huu.

Mfumo wa Arteta ni mbovu sana timu ipo Conservative mnoo.
Nakubaliana nawe kabisa, Gyokeres ni zaidi ya Jesus na Havertz, jamaa tena siku hizi ana confidence ya hali juu bahati mbaya Arteta anamuweka benchi anaanza na Havertz.

Hivi hata huyo Jesus kama akipangwa kwa ile Arsenal isiyotengeneza nafasi, yeye ni malaika afunge magoli bila kupewa pasi za mwisho?

Hakuna striker yeyote hapa duniani sasa hivi hata awe mzuri vipi anaeweza kufunga akiwa Arsenal, kwasababu pale hakuna chemistry, timu haina muunganiko tena, na confidence ya wachezaji wote iko chini sana.

Game yoyote ikitokea sasa hivi Arsenal ikatangulia kufungwa 2-0, ujue hiyo game ndio imeisha, kama ndio vile unafunga goli moja dkk ya 9 kisha unaanza kukoswa koswa mpaka mpira unaisha!.
 
Kwa mfumo huo huo mbovubwa arteta jesus ndio bora sasa, akicheza unamuona mtu, anashuka kucheza na timu, anaweza kuchukua mali kusogea nayo juu, IQ na controll zake za mpira zipo juu, anakupa vingi, kukosa huko ni kupi na hapewi nafasi?
Gyokeres ni seleman mwalimu wa ulaya.
Mchezaji controll chumba na sebule.
Hiyo kazi unayompa Jesus ya kushuka chini kuchukua mpira kisha apande nao, kwa ile historia yake ya majeruhi unataka kumrudisha kitandani.

Ile miguu ya glass haiwezi kufanya hiyo kazi.

Kama mechi zile za FA G. Jesus alipangwa na hakuna alichofanya, ataweza vipi kusumbua defence za timu za EPL?

Wewe kubali tu, hata aje striker toka wapi pale Arsenal sasa hivi, hataweza kufunga magoli.
 
Hiyo kazi unayompa Jesus ya kushuka chini kuchukua mpira kisha apande nao, kwa ile historia yake ya majeruhi unataka kumrudisha kitandani.

Ile miguu ya glass haiwezi kufanya hiyo kazi.

Kama mechi zile za FA G. Jesus alipangwa na hakuna alichofanya, ataweza vipi kusumbua defence za timu za EPL?

Wewe kubali tu, hata aje striker toka wapi pale Arsenal sasa hivi, hataweza kufunga magoli.
Ndio aina ya mpira wake, majeruhi ni issue nyingine..
ILa kimpira jesus yuko mbele ya gyokeres miles 10
 
Alipewa game za FA sikuona alichofanya, labda wewe ulikiona!
Bahati mbaya nina muda sijaangalia game za arsenal, nilianza kuona mpira mbovu, nimekuja kuona game 2nd leg vs sporting na jana ya atletico..
Zote hizi jesus kaingia na atleast mpira ukabadilika, huo mfumo na namna anavyocheza gyokeres ni mgumu haswa AM kakiwa kale kachoko odegard.
 
Bahati mbaya nina muda sijaangalia game za arsenal, nilianza kuona mpira mbovu, nimekuja kuona game 2nd leg vs sporting na jana ya atletico..
Zote hizi jesus kaingia na atleast mpira ukabadilika, huo mfumo na namna anavyocheza gyokeres ni mgumu haswa AM kakiwa kale kachoko odegard.
Kumbe game hutazami.
 
Kumbe game hutazami.
Sasa unataka nikae naangalia mateke? Kabla ya game hizi 2, ya mwisho ilikuwa vs man city ile fainali.. kikosi tu sikukiafiki, nilikuwa na jamaa namwambie tujiandae kufungwa na kuona mpira mbovu upande weru, akaniambia tunapaki basi tutashinda nikaamgalia 45 za kwanza, nikamwambia nina mengi ya kufanya siwezi angalia haya matatizo ya moyo, tukishinda kuna 50 hapa natukifungwa we nitafutie mchanga wa beach tu 😂🤣,
BAadae anapiga simu kuwa tumekalia 😂🤣

Nikamjibu kizaramo,
"nilijua tu, we kwenye mashindano ya UB00H, ukapeleke matako, watakugegeda tu"

Tukacheka tukaongelea game kila mtu anavyoona tukaishia hapo.
Siku hizi mpira unabaki zaidi kwenye starehe, bahati mbaya na arsenal hii hainipihiyo starehe, kuna arsenal fulani hapa kati tunafungwa na bado nafsi inaburudika, unapata ile burudani, basi tusipate burudani ya mpira, tupate hata ya makombe vyotr ni N'DUHU.
 
Arsenal striker ni gabriel jesus tu, wle wengine ni wachezaji wa mbele, huwezi weka jesus benchi ucheze na JOKEres, ama havertz, arteta ni mpuuzi na hili niliwaambia watu fulani wakabisha, hata yule zubimendi nae hana aukali huo, ni kosa kumuachia partey kizembe.
Arsenal nzima wachezaji wa maana ni
RAYA
SALIBA
TIMBER
GABRIEL MALGAHLES
RICE

Afadhali afadhali
JESUS
EZE
TROSSARD(inategemea ameamkia upande gani)
CALAFIORI
HINCAPIE
MOSQUERA

nyingine ni takataka tu, na ukitizama kwa makini ambao ni bora wemgi ni idara ya ulinzi
Mkuu kwa hiyo Saka ni takataka!

BTW kwa mimi Saka ndiye mchezaji bora zaidi kuliko wote Arsenal!
 
Kumlaumu gyokeres ni ujinga tu au mpira hujui vizuri.
Gyokeres ni goal poacher na si linkup striker kama Gabriel Jesus .
Goal poacher wao wanategemea zaidi kutengenezewa wao ni wanamaliza tu.

Arsenal yenu uwezo wa kutengeneza chances ni mdogo sana kwenye open play hasa midfielders zenu zubimendi na rice ni wavunja kuni tu uwanjani atleast hata rice huyo zubimendi ni zero scanning yeye ni back passes tu hata dribble kumpita mtu mmoja hawezi.
Njoo kwenye winger zenu yupo saka, martineli na madueke 😄 , Hawa wanaweza to create chances? Zaidi ya kross kama vile wapo ligi kuu bara.
Tatizo sio joker lenu tatizo uwezo wa kutengeneza chances hamna , joker ungemuweka pale city au man UTD saizi angekuwa na goals zaidi ya 18+
 
Mkuu kwa hiyo Saka ni takataka!

BTW kwa mimi Saka ndiye mchezaji bora zaidi kuliko wote Arsenal!
Wachezaji Bora kuliko wote arsenal ni David Raya, saliba na Gabriel.
Wengine wote ni mmeokota wauza ubuyu mkawavalisha jezi
 
Wachezaji Bora kuliko wote arsenal ni David Raya, saliba na Gabriel.
Wengine wote ni mmeokota wauza ubuyu mkawavalisha

Wachezaji Bora kuliko wote arsenal ni David Raya, saliba na Gabriel.
Wengine wote ni mmeokota wauza ubuyu mkawavalisha jezi
Arsenal kipa Raya na Timber tu ndo bora. Hao Gab na Saliba wazee wa boko na back pass. Huyo Saliba akipewa ball anakaa nao sana mguuni hata akipandisha juu ujue haindi kutoa basi ya maana na akipiga back pass ujue kachoma. Arsenal haifungwi sana si kwamba inabeck imara sana ila timu zenyewe haziishambulii Arsernal kwa kuipiga presha.Timu zote zilizoipa Presha Arsanal zimeifunga au sare sababu Back za Arsenal hawanaga uwezo wakuzuia presha na wanakaba kwa macho sababu ya uzito wao hasa Saliba na Gab. Timu yetu sijajua tukivuka tukakutana na Bayen ambae yuko form na sisi form imekata kwa ile presha ya kina Olise,Keny,Musiala na Diaz sijui kama tutatoka.
 
Mkuu kwa hiyo Saka ni takataka!

BTW kwa mimi Saka ndiye mchezaji bora zaidi kuliko wote Arsenal!
Saka ni mchezaji wa kawaida tu, na hili sijaamza kuongea leo, ni toka saka yuko kwenye peak yale, niliwakataa yeye na martinelli mapema sana, kuna muda nilikuwa naona martinelli anafaa faa kama striker, lakini kwenye uwinga ndio kabisaaaa..

Saka ni wa sevila, everton huko, aston vila, roma, lazio, villareal, marseile huko..
Taja winga 5 bora, saka huwezi muweka
Anapata nafasi katika timu ipi kubwa.?
 
Arteta hayupo serious na idara ya ushambuliaji ya arsenal hivi karibuni walipita na mpk sasa wapo watu kama hawa, hawa wanakupaje titles?, hawa wote ni avarage players.

Willian
Sterling ( tena huyu ndo takataka)
Madueke
Martinelli
G jesus
Havertz
Gyokeres ( huyu kwakua ndo msimu wake wa kwanza ngoja tuone)
Trossard
Gyokerez ni mfungaji mzuri angalia pia na takwimu zake zinatisha sema kinachomfelisha Arsenal aina ya mfumo wa Arterta haujatengenezwa kumnufaisha mshambuliaji
 
Back
Top Bottom