What are random interesting facts about yourself?

Kwa asilimia kubwa sana mimi na wewe tunafanana.

1.Kuanzia huruma(japo zipendi kuonyesha hisia zangu na ni ngumu kujua)Naweza kuumia na huruma kwa sababu ya mtu mwingine bila yeye kujua.(ofisini akija mtu alafu ashindwe kusaidiwa na najua hilo haliwezakani basi taratibu huyoo nitanyanyuka niondoke kwa kuwa najiskia huruma sana).
Sipendi nishindwe kumsaidia mtu, napenda kila mtu nimsadie.

2.Hasira za haraka na mkali sana pale ninapo muelekeza mtu ama pale ninapotaka afanye jambo ambalo mimi naona lina muhimu na manufaa sana kwake alafu hafanyi.
Kwa ufupi sipendi ujinga ujinga

3.Napenda kukaa mwenyewe mara nyingi ila najichanganya pia kwa 20%.

4.Pia ni mtu wa aibu(japo najitahidi kulificha hili).

5.Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake muda mchache sana nikiwa nae karibu.

6.Napenda dini sana.

7.Napenda kuheshimu mkubwa kwa mdogo.

8.Nina misimamo sana nikisema jambo langu hata kama nililikosea sirudi nyuma na wala sijilaumu.
(Nikisema No ni No) haibadiliki kamwe japo mara nyingine nakuwa kwenye makosa.

9.Najiheshimu sana na naheshimu utu wangu, kuna mambo siwezi kufanya hata kama nitakuwa mwenyewe kwenye dunia hii.
Napenda kulinda heshima yangu kwa gharama zozote.

10.Kutokana na kuheshimu utu wangu, jambo nikilifanya huwa nafanya kwa moyo mmoja kwa kujua nafanya na nafsini mwangu na mola wangu najua jambo hili linafaa kufanywa. (sifanyi jambo kum-please mtu bali kum-please nafsi yangu na mola wangu tu)
 

Kweli aisee kuna vitu tunafanana sana
 

Kweli aisee kuna vitu tunafanana sana
 
Uwa nafananishwa na watu kila mahala nnapokwenda. Mtu nnaefananishwa nae kuliko wote ni yule jamaa mwenye upara wa sautisol.
 
Mwalimu wa nidham lazma awe snitch tu๐Ÿ˜… dah!!! Mwalimu wetu wa nidhamu alikuwa anaitwa banju๐Ÿ˜… sababu kichwa chake kimeshonwa shonwa alipataga ajali nafikiri!

Basi wakawa wanamfananisha na gololi banju๐Ÿ˜…
 
Mwalimu wa nidham lazma awe snitch tu[emoji28] dah!!! Mwalimu wetu wa nidhamu alikuwa anaitwa banju[emoji28] sababu kichwa chake kimeshonwa shonwa alipataga ajali nafikiri!

Basi wakawa wanamfananisha na gololi banju[emoji28]
U snitch lazima[emoji23]. Na kuchochea moto.
 
U snitch lazima[emoji23]. Na kuchochea moto.
Mradi mtu achapwe, hapo najua kuna Teacher Flani wa kiume akikuona lazma atafte sifa kwenye matako ya masela๐Ÿ˜…

Utaskia af hawa ndio hutusumbua sana mwisho wanafeli!
 
Mkuu Mi nawashangaa wote mnaoogopa sindano na vidonge maana mimi nikiumwa naamua tu naweza omba sindano au dawa,, alaf kuna kipindi nilikua napenda sana kula alovela sema huku nilipo hazipo yan nimemiss sana utamu wake ule.
 
Mi sina kitu nachojiogopa! Kama nyoka juzi tu nimeua mwenyewe bila msaada wa mtu tandu ndio usiseme naweza mkanyaga hata na soli ya kiatu! Naogopa kuachika japo sijawahi kuachwa
Ndio maana unaitwa stable woman
 
Namba nane kama mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nitamleta mtoto wangu shuleni kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ