What are random interesting facts about yourself?

Mimi sasa ndo balaa....

Sina rafiki sababu kubwa ni uwezo wangu wa kujua hisia za mwingine plus nimesoma vitabu vingi (1000+)kiasi kwamba najua kutofautisha fake people na really.

Sina rafiki sababu wote nimewakopa wamepotezea kunilipa,nkijaribu kumzoea mtu ananikopa hanilipi si mdai urafiki unakufa saivi sizoei mtu sababu nimestuka. More than 7 million ipo kwa marafiki zangu ambayo saivi sio marafiki tena ni watu wakupiga nao story tu.

Nina depression sometimes sababu najua vitu vingi sana kupita uwezo wangu wa kuvibeba na nafeel almost kila kitu.

Nahitaji mda wakukaa mwenyewe na siwezi kukaa na mtu yeyote duniani kwa mda mrefu.Nikitoka sehemu zenye kelele lazima nikae mwenyewe kwa mda.

Nina roho nzuri sana ingawa na improve kdg kuwa na roho mbaya.

Sipendi kelele na kila nachokisikiliza lzm nikipende kwanza,hivyo radio sisikilizi unless mada naipenda au mziki naupenda.

Siwezi kuwa mnafiki hivyo siwezi kujikomba kwa maboss.

Naongeaga ukweli ht pasipostahili hivyo kuna watu wananipemda sana kuna watu wananichukia sana

Napenda comedy movies sana bila hizo napata shida kubalance mood changes zangu

Na huruma sana ila na hasira za karibu kama Mtu hanielewi au ana mdharau mwingine

I can’t handle stress bahati mbaya sana nipo kama sponchi navyonza hisia za wengine haraka sana ziwe mbaya ziwe nzuri.

Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake mda mchache sana nikiwa nae karibu.

Na uwezo wa kupiga story na mtu yeyote bila kujali status yake kwa kiwango kile kile cha heshima,mada nyingi nazijua hivyo sikosagi cha kuongea na mtu.

Shy kidogo,very spiritual but sipendi kwenda kanisani naona kama kupoteza mda hivi ila naamini nalindwa na nguvu kubwa sana ya kiMungu

MapenZi ya kugandana siyawezi naogopa sana mahusiano,napenda kulala mwenyewe,Nikiwa mwenyewe nakuwa na furaha zaidi ingawa najichanganya sana sometimes.

Napenda sana kucheka

Sina rafiki but i am friend material [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]

Uwaga nahisi sijaumbwa kuwa dunia hii huku kama nimepachikwa Tu.

Uwaga nahisi nimebarikiwa ila sijui hasa nimebarikiwa na nini ila najua nimebarikiwa sana kupita wengine.
Kwa asilimia kubwa sana mimi na wewe tunafanana.

1.Kuanzia huruma(japo zipendi kuonyesha hisia zangu na ni ngumu kujua)Naweza kuumia na huruma kwa sababu ya mtu mwingine bila yeye kujua.(ofisini akija mtu alafu ashindwe kusaidiwa na najua hilo haliwezakani basi taratibu huyoo nitanyanyuka niondoke kwa kuwa najiskia huruma sana).
Sipendi nishindwe kumsaidia mtu, napenda kila mtu nimsadie.

2.Hasira za haraka na mkali sana pale ninapo muelekeza mtu ama pale ninapotaka afanye jambo ambalo mimi naona lina muhimu na manufaa sana kwake alafu hafanyi.
Kwa ufupi sipendi ujinga ujinga

3.Napenda kukaa mwenyewe mara nyingi ila najichanganya pia kwa 20%.

4.Pia ni mtu wa aibu(japo najitahidi kulificha hili).

5.Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake muda mchache sana nikiwa nae karibu.

6.Napenda dini sana.

7.Napenda kuheshimu mkubwa kwa mdogo.

8.Nina misimamo sana nikisema jambo langu hata kama nililikosea sirudi nyuma na wala sijilaumu.
(Nikisema No ni No) haibadiliki kamwe japo mara nyingine nakuwa kwenye makosa.

9.Najiheshimu sana na naheshimu utu wangu, kuna mambo siwezi kufanya hata kama nitakuwa mwenyewe kwenye dunia hii.
Napenda kulinda heshima yangu kwa gharama zozote.

10.Kutokana na kuheshimu utu wangu, jambo nikilifanya huwa nafanya kwa moyo mmoja kwa kujua nafanya na nafsini mwangu na mola wangu najua jambo hili linafaa kufanywa. (sifanyi jambo kum-please mtu bali kum-please nafsi yangu na mola wangu tu)
 
1.Kuanzia huruma(japo zipendi kuonyesha hisia zangu na ni ngumu kujua)Naweza kuumia na huruma kwa sababu ya mtu mwingine bila yeye kujua.(ofisini akija mtu alafu ashindwe kusaidiwa na najua hilo haliwezakani basi taratibu huyoo ntanyanyuka niondoke kwa kuwa najiskia huruma sana).

2.Hasira za haraka na mkali sana pale ninapo muelekeza mtu ama pale ninapotaka afanye jambo ambalo mimi naona lina muhimu sana kwake alafu hafanyi.

5.Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake mda mchache sana nikiwa nae karibu.

6.Napenda dini sana.

7.Napenda kuheshime mkubwa kwa mdogo.

9.Najiheshimu sana na heshimu utu wangu, kuna mambo siwezi kufanya hata kama ntakuwa mwenyewe kwenye dunia hii.

10.Kutokana na kuheshimu utu wangu, jambo nikilifanya huwaga nafanya kwa moyo mmoja kwa kujua nafanya na nafsini kwangu na mola wangu najua jambo hili linafaa kufanywa. (sifanyi jambo kum-please mtu bali kum-please nafsi yangu na mola wangu tu)

Kweli aisee kuna vitu tunafanana sana
 
Uwa nafananishwa na watu kila mahala nnapokwenda. Mtu nnaefananishwa nae kuliko wote ni yule jamaa mwenye upara wa sautisol.
 
Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram😂😂😂😂😂😂. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.

Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.

Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
Mwalimu wa nidham lazma awe snitch tu😅 dah!!! Mwalimu wetu wa nidhamu alikuwa anaitwa banju😅 sababu kichwa chake kimeshonwa shonwa alipataga ajali nafikiri!

Basi wakawa wanamfananisha na gololi banju😅
 
Mwalimu wa nidham lazma awe snitch tu[emoji28] dah!!! Mwalimu wetu wa nidhamu alikuwa anaitwa banju[emoji28] sababu kichwa chake kimeshonwa shonwa alipataga ajali nafikiri!

Basi wakawa wanamfananisha na gololi banju[emoji28]
U snitch lazima[emoji23]. Na kuchochea moto.
 
Mradi mtu achapwe, hapo najua kuna Teacher Flani wa kiume akikuona lazma atafte sifa kwenye matako ya masela😅

Utaskia af hawa ndio hutusumbua sana mwisho wanafeli!
 
Mimi katika vitu ambavyo watu nawashangaa na mpaka muda huu sijapata sababu yenye kunishawishi ni nyie watu ambao mnaogopa vidonge halafu sindano hamuogopi

Kuna dawa moja inaitwa "palamalanget" (sijui kama nimepatia) hiyo dawa ni kali kinoma lakini nilikua napita nayo kwenye glass kama juice ya miwa vile. Hii miarobaini arobaini ndio hata stimu ya ukali sijawahi kuiona naona ka ipo overrated tu

Mwaka jana ndiyo ilikua mara yangu ya tatu kuchoma sindano baada ya kukanyaga msumari wenye kitu. Ikanibidi nikachome tetenus lakini kabla ya yote nilimuuliza dokta hakuna option ya vidonge akasema hakuna

Nikaona anaongopa nikapiga simu kwa daktari ambaye ni rafiki yangu naye akaniambia hivyo hivyo, nikaona wote wazugaji nikaingia hadi google nikakutana na jibu lilelile. Ikanibidi nichome tu japo kiugumu sana

Mkuu sindano naziogopa sana
Mkuu Mi nawashangaa wote mnaoogopa sindano na vidonge maana mimi nikiumwa naamua tu naweza omba sindano au dawa,, alaf kuna kipindi nilikua napenda sana kula alovela sema huku nilipo hazipo yan nimemiss sana utamu wake ule.
 
Mi sina kitu nachojiogopa! Kama nyoka juzi tu nimeua mwenyewe bila msaada wa mtu tandu ndio usiseme naweza mkanyaga hata na soli ya kiatu! Naogopa kuachika japo sijawahi kuachwa
Ndio maana unaitwa stable woman
 
Kwa asilimia kubwa sana mimi na wewe tunafanana.

1.Kuanzia huruma(japo zipendi kuonyesha hisia zangu na ni ngumu kujua)Naweza kuumia na huruma kwa sababu ya mtu mwingine bila yeye kujua.(ofisini akija mtu alafu ashindwe kusaidiwa na najua hilo haliwezakani basi taratibu huyoo nitanyanyuka niondoke kwa kuwa najiskia huruma sana).
Sipendi nishindwe kumsaidia mtu, napenda kila mtu nimsadie.

2.Hasira za haraka na mkali sana pale ninapo muelekeza mtu ama pale ninapotaka afanye jambo ambalo mimi naona lina muhimu na manufaa sana kwake alafu hafanyi.
Kwa ufupi sipendi ujinga ujinga

3.Napenda kukaa mwenyewe mara nyingi ila najichanganya pia kwa 20%.

4.Pia ni mtu wa aibu(japo najitahidi kulificha hili).

5.Namjua mtu kiundani sana kipaji chake ,uwezo wake ,udhaifu wake muda mchache sana nikiwa nae karibu.

6.Napenda dini sana.

7.Napenda kuheshimu mkubwa kwa mdogo.

8.Nina misimamo sana nikisema jambo langu hata kama nililikosea sirudi nyuma na wala sijilaumu.
(Nikisema No ni No) haibadiliki kamwe japo mara nyingine nakuwa kwenye makosa.

9.Najiheshimu sana na naheshimu utu wangu, kuna mambo siwezi kufanya hata kama nitakuwa mwenyewe kwenye dunia hii.
Napenda kulinda heshima yangu kwa gharama zozote.

10.Kutokana na kuheshimu utu wangu, jambo nikilifanya huwa nafanya kwa moyo mmoja kwa kujua nafanya na nafsini mwangu na mola wangu najua jambo hili linafaa kufanywa. (sifanyi jambo kum-please mtu bali kum-please nafsi yangu na mola wangu tu)
Namba nane kama mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram😂😂😂😂😂😂. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.

Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.

Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
Nitamleta mtoto wangu shuleni kwako.
 
Back
Top Bottom