What are random interesting facts about yourself?

Sina rafiki mitandao ya kijamii ndo rafiki kuanzia nyumbani hata kazini.

Nina Aibu hili linanitesa najaribu kupambana hii kitu initoke.

Mtu anaye nitumia sms namuona wa maana zaidi kuliko atakaye nipigia simu sipend kuongea kwenye simu.
 
Well kwa watu smart. Hili swali lako litawafanya watu wengi wa spill details zao binafsi bila wao kujua.
Details hizi zinaweza kuchukuliwa na watu au mtu .. ana akatengeneza character yako kupitia uliyo yasema.

Pia inaweza kutumika kumsoma muhusika na id yake.

So to me no thanks man. Ningeweza but it too risky kuweka character yangu on public.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…