What are random interesting facts about yourself?

What are random interesting facts about yourself?

Hi.

Karibuni tuelezane mambo (facts) mbali mbali kutuhusu sisi, ambazo sio kila mtu anazijua.

Mimi naanza.
1. I am a Coma survivor. Nilipata ajali ya gari na nikaa coma kwa muda wa wiki mbili. Sikumbuki kitu chochote kuhusu hizo wiki mbili.
2. I am a landlord. Hii ni nyumba yangu ya juhudi zangu. Wapangaji wangu wananiheshimu sana. Niliona mmoja kanisave MAMA MWENYE NYUMBA nilijihisi natembea mawinguni.
3. Sijawahi kula chipsi mayai au mayai tangu nimezaliwa.

Karibuni.
Well kwa watu smart. Hili swali lako litawafanya watu wengi wa spill details zao binafsi bila wao kujua.
Details hizi zinaweza kuchukuliwa na watu au mtu .. ana akatengeneza character yako kupitia uliyo yasema.

Pia inaweza kutumika kumsoma muhusika na id yake.

So to me no thanks man. Ningeweza but it too risky kuweka character yangu on public.
 
Back
Top Bottom