What are random interesting facts about yourself?

What are random interesting facts about yourself?

Ng'ombe nilikuwa namuogopa nilivyokuwa mdogo, nilianza kuwazoea taratibu hadi leo sina uoga nae. Simpendi Nyoka, sio kwamba namuogopa, wala sitakagi utani na hiko kiumbe tena ukitaka unichukie maisha yako yote. Niletee utani wa hiko kitu
basi sasa mwenzio mimi nyoka nimewaua sana sinaga hofu nao. .ila niko na tension nao sana. .nilipokuwa na umri wa miaka 12 niliwahi kumuua nyoka nilimkuta katika midizi nilikuwa nakojoa kumbe katika ili midizi alikuwepo nikawa namkojolea si_akajitokeza nikaokota fimbo kuu kuu nikamchapa nayo alikuwa na urefu wa mikono ya kijana wa miaka 15s. .

nikaenda kuwaeleza wazazi wangu wakashangaa wakaja kushuhudia wakanisifu kwa ushujaa wangu lakini pia wakanionya siku nyingine nisijaribu kufanya kitendo kama kile nikiwa peke yangu maana kwa umri wangu waliona kuwa ni hatari kumkabili kiumbe yule nikiwa peke yangu

ila siku hizi huwa siwaui nyoka kabisaaa. ..nikimuona naamua kumuacha tu aende zake wajua nyoka huwa hana time na binaadamu labda mpaka umchokoze au umkanyage au labda awe chatu na chatu mwenyewe huwa hakamati binaadamu mpaka awe peke yake
 
Hapa solvers ni mods tu...

Eeh kwenye kucheka huko tupo wengi, eti wenye tafiti zao wanasema sisi tunaopenda sana kucheka ni wapweke moyoni. Siamini lakini
mimi naamini 😃😃

maana mimi nimpweke sana
 
duuhh
i have so fukn weak heart....i am so sensitive....i love easily

i get irritated easily too

i have a wife and kids but still love my ex too much that everyday i hope one day we will get back together
😃😃
 
Sina rafiki wa kusema huyu ni rafiki yangu, am mostly quite, sipendi makelele, sidumu katika mahusiano ya kimapenzi na muda mwingine huwa nayaona ni kero. Am good Hearted Man, nisiyejuta wala kulaumu kwa chochote nitakachoamua kukifanya. Sipendi kuwa Threatened au Threatening anyone, sipendi mikusanyiko.

Am Introvert.

Kwizer tunafanana kwa 95%
 
To be honest sindano naziogopa sana mazee
😃😃 ona sasa. mimi mwenzio sasa. sipendi vidonge yaani navichukia mnooo. .nilipokuwa mdogo nikiumwa then nikapewa vidonge nilikuwa nakwenda kuvitupa toilet then navi flash viende na maji. .. sababu kubwa haswaa ya mimi kuwa hivyo ni kwa sababu nachukia sana vitu vyenye ladha ya uchungu

yaani kwa mfano ikitokea nikawa nakula then kwa bahati mbaya nikatafuna mbegu ya limao iliyopo katika mboga ambayo iliwekwa bahati mbaya na mpishi. .huwa naweza nikasusa kula kabisa hicho chakula😃😃😃
 
1. I survived a very toxic marriage and One thing u won’t ever believe is that I still love that man it’s just that I can’t go back and stay with him anymore but he was the only guy I ever loved in my entire life
aisee.. kuna watu huwa wana bahati 😊😊
 
Back
Top Bottom