Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hehehe[emoji1787][emoji1787] nina macho naona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sawa...kwa hiyo unanisaidiajeHehehe[emoji1787][emoji1787] nina macho naona
karama ya uongoziNgoja na mimi niandike.
Tangu darasa la 3 hadi la 5 nilikuwa "monitor".
Darasa la sita na la saba nilikuwa " Dada mkuu".
Form 1 na form 2 nilikuwa "Monitress" .
Form 3 nikawa kiongozi wa michezo na Monitress.
Form 4 nikawa kiongozi wa chakula na Monitress.
Five na six nilikuwa mweka hazina wa kikundi chetu cha dini.
Chuo nilikuwa CR miaka yote na Mbunge mwaka wa pili.
Kazini Mimi ni mwalimu wa nidhamu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitajua chakufanya
[emoji16][emoji16] sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitajua chakufanya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndiooo
[emoji9][emoji9][emoji9]
Mimi katika vitu ambavyo watu nawashangaa na mpaka muda huu sijapata sababu yenye kunishawishi ni nyie watu ambao mnaogopa vidonge halafu sindano hamuogopi😃😃 ona sasa. mimi mwenzio sasa. sipendi vidonge yaani navichukia mnooo. .nilipokuwa mdogo nikiumwa then nikapewa vidonge nilikuwa nakwenda kuvitupa toilet then navi flash viende na maji. .. sababu kubwa haswaa ya mimi kuwa hivyo ni kwa sababu nachukia sana vitu vyenye ladha ya uchungu
yaani kwa mfano ikitokea nikawa nakula then kwa bahati mbaya nikatafuna mbegu ya limao iliyopo katika mboga ambayo iliwekwa bahati mbaya na mpishi. .huwa naweza nikasusa kula kabisa hicho chakula😃😃😃
Mimi nyoka naziogopa sana, yani kama nyoka kaingia ndani na hajauliwa halafu hakuna aliyemuona akitoka basi humo silali.mkuu kabla ya kuwa mboga ni mnyama yule
😃😃 dahh pole sana. .. narudia tena mkuu mimi na vitu vichungu tuko tofauti.. muarabaini ndio kabisa siuweziMimi katika vitu ambavyo watu nawashangaa na mpaka muda huu sijapata sababu yenye kunishawishi ni nyie watu ambao mnaogopa vidonge halafu sindano hamuogopi
Kuna dawa moja inaitwa "palamalanget" (sijui kama nimepatia) hiyo dawa ni kali kinoma lakini nilikua napita nayo kwenye glass kama juice ya miwa vile. Hii miarobaini arobaini ndio hata stimu ya ukali sijawahi kuiona naona ka ipo overrated tu
Mwaka jana ndiyo ilikua mara yangu ya tatu kuchoma sindano baada ya kukanyaga msumari wenye kitu. Ikanibidi nikachome tetenus lakini kabla ya yote nilimuuliza dokta hakuna option ya vidonge akasema hakuna
Nikaona anaongopa nikapiga simu kwa daktari ambaye ni rafiki yangu naye akaniambia hivyo hivyo, nikaona wote wazugaji nikaingia hadi google nikakutana na jibu lilelile. Ikanibidi nichome tu japo kiugumu sana
Mkuu sindano naziogopa sana
😄😄 mimi nyoka simuogopi kabisaa.. ila huwa nina tension kubwa sana dhid yake ukitokea nikiwa na tembea katika majani huwa nawaza labda naweza kumkanyaga so nakuwa,natembea kwa uangalifu,mkubwa,mnoo cause nalijua balaa. lakeMimi nyoka naziogopa sana, yani kama nyoka kaingia ndani na hajauliwa halafu hakuna aliyemuona akitoka basi humo silali.
Huu uoga niliupata kipindi mdogo ambacho nilimkanyaga kifutu bila kumuona ila bro alikua nyuma alivyoona aka-shout nikaruka kwa hofu nilikua nimemkanyaga katikati kwenye kiwili wili.
Kama hiyo haitoshi nilishawahi kumshika nyoka juu ya mti nikadhani ni tawi la mti kutokana na rangi ya yule nyoka kua yakijani. Mwili wote ulisisimka hapo ndio nikaamini kua mtu aliyekoswa na nyoka hata jani likimgusa hukimbia
Wengi wasioogopa nyoka mara nyingi hawajawahi kukitana na visanga vyake, wengine wamekulia ushuani nyoka kumuona sio rahisi wengi nyoka wamewajulia kwenye sinema au mabanda ya maonyesho ya wanyama.
Niliumwa washkaji wakaniambia kapime tukafika kwenye ki-dispensary dokta akaniambia lete kidole tukuchukue vipimo.😃😃 dahh pole sana. .. narudia tena mkuu mimi na vitu vichungu tuko tofauti.. muarabaini ndio kabisa siuwezi
Kuna nyoka mmoja anaitwa swila yule nyoka hanaga limitation kwenye ukuaji. Nilimkuta mtoni tulikua wawili kipindi hicho watoto hapo tuko kuwinda.😄😄 mimi nyoka simuogopi kabisaa.. ila huwa nina tension kubwa sana dhid yake ukitokea nikiwa na tembea katika majani huwa nawaza labda naweza kumkanyaga so nakuwa,natembea kwa uangalifu,mkubwa,mnoo cause nalijua balaa. lake
daaah hakukufanya kitu? huyo sindiye koboko black mamba. . ni nyoka hatari sanaKuna nyoka mmoja anaitwa swila yule nyoka hanaga limitation kwenye ukuaji. Nilimkuta mtoni tulikua wawili kipindi hicho watoto hapo tuko kuwinda.
Aisee yule nyoka alikua mrefu kishenzi ilikua kila asubuhi unamkuta kajianika anaotea jua. Kuna siku nilikua niko alone nikapita sikumkuta lile eneo anapopendelea kukaa. Nilipofika mbele nikastaajabu kuona nyoka anapita alikua ametokea upande wa majani sasa katikati kuna njia ambayo ukiivuka hapo unakutana na majani mengine yani njia iko katikati ya kimsitu. Ile njia ilikua inaupana wa futi kama 5 hivi
Lakini yule nyoka alivyopita pale sikuweza kujua wapi kichwa wapi mkia
Ndugu yangu acha tu yule nyoka hakuwahi kuuliwa nadhani alisepa mwenyewe na kama alikufa huko alikoenda labda kwa ugonjwa maana huo muonekano wake hata mbwa zilikosa ushirikiano siku iledaaah hakukufanya kitu? huyo sindiye koboko black mamba. . ni nyoka hatari sana
aahhh koboko unamuuaje sasa? labda mumtegee sumu.. wataalamu wa mambo wanasema anauwezo wa kuua watu 100 ndani ya dakika kadhaa tu. labda kama alikufa kwa mafuriko.. mshukurusana. hakuwaanzishia songombingoNdugu yangu acha tu yule nyoka hakuwahi kuuliwa nadhani alisepa mwenyewe na kama alikufa huko alikoenda labda kwa ugonjwa maana huo muonekano wake hata mbwa zilikosa ushirikiano siku ile