Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
SawaNakuja maana hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNakuja maana hakuna namna
Nakukaribisha mkuuMkuu naomba niongee na wewe kama hutajali
Born to be a leader, ukiweza achana na chaki uingie siasani. Huko uongozi+uongo unakula pesa za wananchi bure kabisa.Ngoja na mimi niandike.
Tangu darasa la 3 hadi la 5 nilikuwa "monitor".
Darasa la sita na la saba nilikuwa " Dada mkuu".
Form 1 na form 2 nilikuwa "Monitress" .
Form 3 nikawa kiongozi wa michezo na Monitress.
Form 4 nikawa kiongozi wa chakula na Monitress.
Five na six nilikuwa mweka hazina wa kikundi chetu cha dini.
Chuo nilikuwa CR miaka yote na Mbunge mwaka wa pili.
Kazini Mimi ni mwalimu wa nidhamu.
.. wanawake je?Nina mwaka wa 15 sijawahi kuweka Aina yoyote ya soda mdomoni.
Sinywi pombe na sivuti sigara na Sina kitambi.
skuli tulizosoma sisi, ungekua hapo, ungeilaani kazi ya ualimu maana hata headmaster tuliwahi kumtia kipondo.Huwa nafuatilia tabia ya mwanafunzi hadi mtaani na kwenye instagram[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mbona wanakoma. Vikao vya wazazi kila leo mpaka mtoto abadilike. Na nikiamua kula sahani moja na wewe nitaacha tuu endapo utabadilika.
Form 4 wa miaka kadhaa nyuma walinikatia jina.
Sikuwahi kulijua hadi siku ya mahafali yao. Wakati walimu wanaitwa mimi zamu yangu MC akanitaja jina langu, masomo ninayofundisha akamalizia kwa kusema "wengi wanamjua kama ...." Wanafunzi wakalitaja wote kwa pamoja. Nilicheka sana.
Sema wanafunzi wananipenda. Hadi wazazi wao wananipenda na simu wananipigia kunishitakia tabia za watoto wao na awards wameshanipa mbili.
Nina huruma kupita kiasi.
Nina hasira japo naweza kuzicontrol
Sipendi kabisa kutembea tembea..naweza kuishi sehemu hata sokoni nisikujue.
Sipendi kujichanganya na watu na si kwamba siwapendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
If you ever need help, open up.Natamani ningeandika kwa ID nyingine.
Sijipendi, sioni sababu yakuishi. Sifurahii maisha na sijui ni kwa nini. Sina maisha mazuri ila ninakula na kulala kwangu na siombi cha mtu.
Ukiniona huwezijua kama moyo wangu umepondeka kwasababu ninadress smart, ninacheka inapobidi (sio sana), ninachangamka nikiamua.
Sina hofu ya aina yoyote kwenye maisha yangu.
Sijisikii tena kuchase ndoto zangu.
Tangu nipo shule ya msingi nimekua nikijaribu kujiua ila nashindwa. Sijui kama ngao ya maji ilikua haiui ila nikiwa darasa la sita nilikunywa ngao na sikufa wala sikuumwa tumbo. Vingine siwezi kuandika. Jaribio lamwisho la kujiua nililifanya nikiwa form six. Halikufanikiwa
Mwaka jana nilipata kazi serikalini, msimamizi mkuu wa ngazi ya wilaya akanitishia kunifuta kazi kwa sababu zisizo za msingi, nikamwambia "me nimeshaifuta hiyo kazi kichwani, kazi kwako".
Mwaka huu mkurugenzi wa mamlaka niliyopo kwa muda alikuja kiukaguzi akaongea maneno machafu sana, akatusimangia watu chai ya ofisi nikamwambia mkuu ni chai ya rangi na chapati mbili kama unaona tunafaidi sana sema tukuagizie kuliko kuitolea macho ukidhani ni chai zenu za makao makuu.
Sijui kama mtoa mada alitaka haya au mengine, nowadays nina mashaka hata na uelewa wangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niache bwanaMgonjwa
I probably will.If you ever need help, open up.
JF itakuponya.
Wanafunzi wa siku hizi ni wadogo sana. Kipindi chetu tulikuwa wakubwa umri na miili.skuli tulizosoma sisi, ungekua hapo, ungeilaani kazi ya ualimu maana hata headmaster tuliwahi kumtia kipondo.
Jukwaa la siasa lenyewe nikienda naona mapicha picha tu. Siasa nitaziweza kweli???Born to be a leader, ukiweza achana na chaki uingie siasani. Huko uongozi+uongo unakula pesa za wananchi bure kabisa.
Wewe Ni bikra?Sijui jina langu la ukoo na wala kabila langu.
Sijawahi fika Dar ila sijawah ishi kijijini.
Sijawahi kuwa na dem wala mchumba japo natongozwa some time.
Sina maajabu yoyote .
Yaaan upo km me tyuuh.Nina huruma kupita kiasi.
Nina hasira japo naweza kuzicontrol
Sipendi kabisa kutembea tembea..naweza kuishi sehemu hata sokoni nisikujue.
Sipendi kujichanganya na watu na si kwamba siwapendi.
Sent using Jamii Forums mobile app