Sijui kama haya yameshatajwa:
1. Rais wa Marekani huwa hachaguliwi na wapiga kura siku ya kupiga kura, bali, kuna kikundi cha watu [kama Freemason...whatever the fcuk that is] ambao ndo huamua nani awe Rais. I say it’s bullshit just like the rest of the conspiracy theories.
2. Kile kifimbo cha Nyerere eti hakuna mtu aliyekuwa anaweza kukibeba zaidi yake yeye. Mfano, eti alipokuwa anakiacha mezani, hakuna mtu mwingine aliyekuwa na uwezo wa kukinyanyua. Eti kilikuwa ni kizito kupita maelezo. Bullshit.
3.The legendary, the late great Tupac Amaru Shakur, faked his own death. Over the years there have been so many Tupac ‘sightings’. Mara sijui anaishi Cuba. Mara kaonekana huko Belize. Mara yupo Ethiopia. Conspiracy theorists ni kama hawana[ga] common sense. Imagine mtu kama Tupac with his big mouth eti akae kimya huko aliko na hizi social media platforms zilizopo. Pata picha Tupac angekuwa hai halafu ana platform ya Twitter. Pac was woke before woke was woke. Way ahead of his time.
4. Kupotea kwa ndege ya Malaysia, MH370 miaka 6 iliyopita. Ndege hiyo iliyokuwa inatokea Kuala Lumpur kuelekea Beijing, China, ilipotea tarehe 8, Machi 2014!
Mpaka leo hakuna ajuaye kilichoitokea ndege hiyo zaidi ya kwamba ilipotea.
Kukosekana huko kwa sababu iliyoifanya ndege hiyo kupotea ndiko kumetoa mwanya kwa kila aina ya conspiracy theory. Kuanzia kumezwa na black hole hadi kutekwa na Warusi...Putin [emoji1787]. Bullshit.