Maziko waliyomfanyia ya kuzikwa baharini ni aina ya maziko ambayo uislam unayakubali if was the probably option available.
Umepata wapi hizi habari ?
Hivi ni kweli chaguzi zilikuwa zimeisha ? Mpaka akazikwa(kama unavyodai) kwenye maji ? Ufafanuzi juu ya hili tafadhali.
Sababu ya kumzika baharini ni kuepusha eneo lake la maziko to become a shrine or monument to him for other terrorists.
Kuna walio fanya makubwa na utukufu mkubwa mno kuliko huyo Usama, lakini wamezikwa.
Hii si hoja bibie.
Pili, kwanini iwe hivyo unavyodhani wakati mtu alikuwa katika mlengo ambao hata dini yake unaukataa ?