What are some crazy interesting conspiracy theories?

The craziest conspiracy theory has got to be the existence of an all knowing, all capable and all loving God.

It doesn't get any crazier than that.

Sent from my typewriter using Tapatalk
[emoji848]
 
"Osama ni mtu mdogo sana".
" wengi walikuwa wanampinga".
" wachache ndio walikuwa wanamkubali".

Come on, How can I take your question seriously?

Chunguza, mimi nilikuwa naona nasaha anapewa na wanazuoni na wengi walijua ujinga wake kitambo sana, kiuhalisia ni mdogo, ila vyombo vya habari vimemkuza, a uongo haujawahi kuushinda ukweli hata kwa bahati mbaya.

Nikuulize, swali, hivi wewe habari za Usama unazipata toka kwenye vyanzo gani ? Bila shaka ni hivi maarufu, kama vile BBC, CNN, aljazeera na mfano wake, sasa kuna vyanzo vingine vya kuaminika na sahihi zaidi kuliko hivyo nilivyo vitaja.
 
Unawajua watoto wabishi? Atasema MIMI nafagia vizuri, I know what am doing.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyo anapigwa makofi tu.

Au unamfunza kwa hekima, una muacha afagie kisha mkiamka salama, una muonyesha madudu yake, kisha unarudi kwenye kauli ya mwanzo ya kuwa "Hivi ndio huwa tunawafunza". Umemaliza.
 
Kuna uzi wa LIKUD kwamba mkewe Kobe Bryant anahusika kwenye kifo cha mumewe na mwanae. Tulibishana nae sana kwenye ule uzi ila ndio hivyo, nayo ni conspiracy theory whether imeanzia kwenye vijiwe vya bongo au mbele. Kutaka ku-prove au dis-prove conspiracy theories hakuna tija cause utata wake ndio unafanya ziwe conspiracy theories in the first place. Watu hadi walioneshwa birth certificate ya Obama ila bado kuna walio stick kwenye theory kwamba ile certificate ni fake na Obama si mmarekani !!!
 
Sasa mbona unataka kunirudisha katika line ya kuamini conspiracy[emoji53][emoji53]
Before someone uncovered the truth to the world about the Atomic City, and Los Alamos, before Hiroshima and Nagasaki got bombed by nukes everything about atomic bomb and Atomic City seemed to be a conspiracy theory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namba 4 nadhani kuna conspirancy hapo or whatever the f*c it is...... haiwezekani ndege ipotee tu hewani kwa technology iliyopo leo!

naamini kuna wajanja wachache wanajua what happened ila hawataki kutoa taarifa!
 
kifo cha osama ni story ya upande mmoja, kwa jinsi US wanavyopenda sifa sidhani kama kuna uhalisia katika maneno yao!


anyway, hii dunia ina mambo mengi ambayo kwa akili ya kawaida doesnt make sense, ila kwa mtu anaetazama nje ya box kuna vitu haviko sawa!
 
namba 4 nadhani kuna conspirancy hapo or whatever the f*c it is...... haiwezekani ndege ipotee tu hewani kwa technology iliyopo leo!

naamini kuna wajanja wachache wanajua what happened ila hawataki kutoa taarifa!

Well, sawa. Ili mradi kama unaweza tu kuthibitisha unachosema au unachokidhania....

Zaidi ya hapo, ni mwendelezo ule ule tu wa porojo za vijiweni.
 
...... pengine hawakumuua siku ile........[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Well, sawa. Ili mradi kama unaweza tu kuthibitisha unachosema au unachokidhania....

Zaidi ya hapo, ni mwendelezo ule ule tu wa porojo za vijiweni.
Nyani, sina uthibitisho zaidi ya kujiuliza maswali kama binadamu wa kawaida tu......

huwa najiuliza, ilikuaje ndege kubwa vile, ipoteee tu bila kunaswa na vyombo vya kisasa vilivyopo duniani leo, na wasijue hata ilikopotelea!

hakuna mtu mpaka leo amewahi kuelezea nini kiliikumba ile ndege, na hapo ndipo maswali yanaibuka!
 

Nimekupata.

Nami nina maswali kama hayo hayo yako.

Yaani kweli kabisa na teknolojia iliyopo iweje hilo lidege likubwa hivyo lipotee tu hivi hivi bila hata kuwepo na fununu limepotelea wapi?

Ila kwa upande mwingine, teknolojia nayo si mwarobaini wa kila kitu.

Kuna mambo mengi tu ambayo binadamu hatuyajui.
 
Hiyo ndege mbona vipande viliokotwa pwani ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…