What are some crazy interesting conspiracy theories?

Finland haipo?
Juzi tu tulikuwa na semina na wanachuo kutoka Finland about HIV and economics
 
The irony is that Russia has more sophisticated nuclear weapons that could destroy the United States at a snap of a finger. According to some of the information I've been able to find, allegedly the US don't have measures to protect themselves from powerful nuclear weapons such as the ones that Russia owns. The conspiracy about the US killing birds and replacing them with clones is absolutely ridiculous 🤣😭
 
Sawa, lakini hivyo vipande havikutoa majibu ya hiyo ndege iko wapi na nini kiliitokea.

Na wala havikuwa vipande vingi.

Au vilitoa hayo majibu?
Vilitoa majibu ndege imetapakaa baharini na vipande vimetawanywa na mawimbi ya bahari.
 
Vilitoa majibu ndege imetapakaa baharini na vipande vimetawanywa na mawimbi ya bahari.

Kwanza, vipande ambavyo mpaka sasa vimethibitishwa kuwa ni vya kutoka kwenye ndege hiyo ni vitatu [3].

Vilithibitishwa kwa kutumia “unique identifiers” za hiyo jetliner.

Kipande cha kwanza kilipatikana huko Pemba. Ni kipande cha ubawa wa ndege.

Cha pili kilipatikana Mauritius. Nacho ni kijisehemu cha ubawa wa ndege.

Cha tatu ni kinachoitwa flaperon. Kilipatikana kwenye visiwa vya Reunion.

Hivyo ndivyo ambavyo wachunguzi wa mambo ya ajali za ndege wakishirikiana na shirika la Boeing pamoja na Malaysian Airlines na parts makers waliweza kuthibitisha kwa uhakika kwa kutumia ‘unique identifiers’ na ‘parts identifiers’.

Vitu vingine vilivyopatikana vinahisiwa na kusadikika tu kuwa huenda ni vya hiyo ndege au vya abiria waliokuwemo kwenye hiyo ndege lakini hakuna uthibitisho.

MH370: Here's what's been found from missing jetliner

Wiki iliyopita, tarehe 8 Machi, imetimia miaka 6 tokea ndege hiyo ipotee na bado hakuna ajuaye kwa uhakika nini kiliikumba hiyo ndege na wapi ilipo.

Vipande vilivyopatikana havitoi majibu kamili ya nini kilitokea, wapi kilipotokea, kwa nini kilitokea, na muhimu zaidi, ndege yenyewe iko wapi au sehemu kubwa ya hiyo ndege iko wapi.

Ndugu wa abiria waliokuwemo kwenye ndege bado hawana majibu ya kilichoitokea hiyo ndege.

Malaysia Airlines Flight 370 remains mystery six years on as families appeal for new search
 
Sawa, lakini hivyo vipande havikutoa majibu ya hiyo ndege iko wapi na nini kiliitokea.

Na wala havikuwa vipande vingi.

Au vilitoa hayo majibu?
Wengine wanadai mle kwenye ndege kulikua na majasusi wa China,wameiba blueprint za kijeshi za marekani,walikuwa wanaenda kupeleka China,
Marekani wakaamua ndege ipotezwe kabla haijafika China,
Kabla ndege kuruka Kuna njemba ziliingia kupitia cocpit,
So Kuna mawili,ndege ilielekezwa Diego Garcia na ikatua,wamarekani wakarecover document zao na Kisha kuilipua ndege na abiria,
Ama ndege ilielekezwa katikati ya bahari ya Hindi,Kisha majasusi wa CIA wakadrop na parachute baharini baada ya kuwamaliza marubani na abiria,
Wao CIA waksokolewa na manowari za kimarekani zilizoko pale Diego garcia
 

🤣🤣🤣🤣🤣

Conspiracy theorists huwa wanachekesha sana.

They can also be very entertaining.

Wana imaginative powers kali sana.

Ila kuna nyakati huwa wanaboa maana kwao huwa hakuna kinachotokea bila kukiundia njama.

Ushamsikia Alex Jones?
 
Eti wazungu "wanawaambukiza" ushoga waafrika!

Kwani hao wazungu waliwalazimisha mpeane vifiro?

Conspiracy theories zingine ni vichekesho kweli kweli!

Funny 😄.

Watu wanafiraana wenyewe kwa hiari zao halafu wanawalaumu Wazungu....nyambaaf kabisa.

Hahahaaaa.
 
Huyo Ni jamaa yangu Sana,tangia 2008
 
Area 51 is just normal military base that the US government themselves spread conspiracies about to cover up another real base.
 
1.Mwezi uligawanywa kati kati
2.jua huwa linaenda kuzama kwenye dimbwi la matope
Tofautisha kati ya uhalisia na nadharia za uongo, hilo la kwanza watu walishuhudia, hilo la pili ni uchachefu wa maarifa na jambo liko wazi.

Sasa jifunze kuweka kitu mahala pake.
 
Kwa hiyo kama hakuna majibu kamili hilo linamaanisha nini zaidi ya kwamba hakuna majibu kamili?

Does that mean kuna black hole ilifunguka ghafla ma kuimeza hiyo ndege kama alivyo speculate Don Lemon?

Mbona hata square root ya 2 haina majibu kamili katika decimal notation?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kwa hiyo kama hakuna majibu kamili hilo linamaanisha nini zaidi ya kwamba hakuna majibu kamili?

Kutokuwepo kwa majibu kamili maana yake ni kwamba, tukio hilo linaendelea kuwa moja kati ya mafumbo makubwa kabisa kuwahi kutokea duniani yahusuyo usafiri wa anga ambayo hayajapatiwa ufumbuzi bado.

Na kinacholifanya tukio hilo liwashangaze wengi ni nyakati tulizomo hivi sasa: nyakati za maendeleo makubwa sana ya sayansi na teknolojia.

Watu wengi, nikiwamo na mimi, walikuwa wanadhani ndege zinapokuwa angani huwa kuna mitambo inayozifuatilia kwa kila hatua.

Does that mean kuna black hole ilifunguka ghafla ma kuimeza hiyo ndege kama alivyo speculate Don Lemon?

Mbona hata square root ya 2 haina majibu kamili katika decimal notation?

Sent from my typewriter using Tapatalk

Don Lemon hana tofauti na hao conspiracy theorists wengine.
 
Hadi sisi tulitokana na huo mlipuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…